Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Status
Not open for further replies.

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,450
Reaction score
23,124
Katika hili isiyokuwa ya kawaida, Bwana Bill Gates a.k.a Mfalme wa vaccines, ameshambuliwa huko Belgium alipokuwa anaingia kwenye jumba la mkutano, mahali ambapo alipaswa kukutana na community leaders.Haikufamika mara moja katika kikao hicho, ilikuwa waongee nini.

Shambulio hili kwa wengi sio la kushanngaza
sana, hasa ikizingatiwa kwamba mikakati mingi ya Bill Gates ni hatarishi sana kwa ustawi na maisha ya Wanadamu.

Mara nyingi amekuwa akiweka wazi nia yake ya kupunguza watu duniani, kwa kutumia mbinu mbali mbali, ikiwa ni pamoja na kuleta njaa, chanjo, magonjwa mbali mbali yasiyotibika kama Ebola na uzazi wa mpango, na hivi karibuni kabisa COVID-19, kwa nia ya kuleta chanjo pia, ambayo inasemekana ndani yake kuna mikakati mingi miovu kabisa.

Wachambuzi wa mambo wanasema kwamba, hasira ya Wanadamu dhidi ya Bill Gates imechelewa sana, lakini hii ni kwa sababu wanadamu wamechelewa kupata taarifa kuhusu uovu wake.Inawezekana kwamba huu ni mwanzo tu wa mabaya zaidi yatakayomkuta Bill Gates baadae, ngoja tusubiri.

Angalia clip ifuatayo uone shambulio la hivi karibuni kabisa.







Mtoa mada wewe hua ni father of HOAX NEWS hapa JF,na unatakiwa upuuzwe tu.

Habari ya Feb. 5, 1998 unaileta leo.

GATES WON'T PRESS CHARGES AFTER PIE ATTACK IN BELGIUM

An Interactive Journal News Roundup

Updated Feb. 5, 1998 12:03 pm ET

Belgian police released a man and a woman who threw a cream pie in the face of Microsoft Corp. Chairman Bill Gates on Wednesday because Mr. Gates has declined to press charges.

Meanwhile, the prank's instigator, who wasn't caught, said he was thrilled at the sight of Mr. Gates standing on a Brussels sidewalk "as if bolted to the ground," wiping cream off his glasses and face. The prankster is well-known in Belgium as an "entarteur," -- someone who throws pies in famous peoples' faces as a form of harmless disrespect.

Police didn't identify the man and woman who were detained, except to say the woman lives in France and photographed the creaming. The pies were thrown at Mr. Gates as he entered an ornate hall near the center of Brussels for a meeting with Belgian computer industry and government leaders as part of a world forum this week.


Sourece:Gates Won't Press Charges After Pie Attack in Belgium

======

Tukio hili ni la zamani, mwaka 1998, na halihusiani na Corona Virus
 
Unaokota video ya miaka 10 iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app

Nionyeshe ushahidi unao onyesha kwamba hii clip ni ya miaka kumi iliyopita! Otherwise kama kimya. Anyway, haijalishi imetokea lini, la maana ni kwamba imetokea. If it happened than, it will happen now.
 
Maovu ya Bill Gates ya kupunguza idadi ya watu ni hatarishi. Uovu huo hautajwi sana kwa sababu target yake ni nchi masikini kama India, China etc. Tunahitaji kumwangalia huyu jamaa kwa macho mawili. Nilikuwa sifuatilii sana Foundation yake lakini inatia shaka sana.
 
Kiswahili ni kitamu sana sijui kwanini mnakidharau.
Lugha zingine....Nionyeshe ushahidi unao onyesha kwamba hii clip ni ya miaka kumi iliyopita!Otherwise kama kimya.Anyway,haijalishi imetokea lini,la maana ni kwamba imetokea.If it happened than,it will happen now.[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani wewe Bill Gates kakufanyia nini hadi uzungushe habari za uzushi? Kwani ukirusha habari hizi ndio wapata mkate wa siku?

Sijui Bill Gates ni Mungu wenu,mnajaribu kum-protect kwa njia yeyote ile.Ukweli utabaki kwamba ni mtu muovu sana,na ameua ndugu zenu wengi.Matumbo hayo yatawaponza.
 
Wahindi wanajua ni nini huyu shetani alifanyia watoto wao kwenye chanjo ya polio.... Bill Gates ni shetani mkuu miongoni mwa watu.
 
Dah!.. huyu jamaa amekukosea nini mkuu?

Huyu ni mfadhili mkubwa wa miradi ya afya hapa Africa, ni mtu asiye na makuu acha kumchafulia jina na kumwandika vibaya.
 
Acha UONGO. Hivi mnajisikiaje mnavyoongopa hivi? Inawapa raha gani? Bill Gates huyo wa miaka 30 na kitu unamlinganisha na Bill Gates wa leo miaka karibu 70? Katika watu wanaotumia utajiri wao vizuri ni Bill Gates.

Angeweza kukaa kimya kama matajiri wengine na kutumia pesa zake kwa familia yake lakini ameamua kuwa tofauti kwa kusaidia masikini kwa njia mbalimbali. Ama kweli shukurani za punda ni mateke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom