Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Status
Not open for further replies.
Sasa takataka kama wewe una faida gani hapa duniani zaidi ya kuongezanmisukule tu.

Hata ukipewa kuishi miaka 10,000 hapa duniani hakuna cha maana utakachofanya kuifanya dunia iwe mahala pazuri pa kuishi.
Bill Gates amekuletea nini isipokuwa kuua ndugu zako na wewe mwenyewe mwenyewe hapo ulipo ukiwa maiti mtarajiwa.Hebu angalia clip ifuatayo uone matango mwitu unayolishwa!

Kwa unavyo fahamu wewe watu Duniani wanaongezeka au Wanapungua?
Swali la kijinga hili.We are talking of rates of increase!Hujawahi kusikia kwamba nchi nyingi sasa wazee ndio wengi,including China.Unadhani kwa nini Ujerumani walikubali refugees wengi.Read,read upate ukweli umelala sana.
 
Wewe ni mvuta bangi mbichi ?
Psycopath wenu kabetuliwa,and the worst is yet to come.He is a conman using the ignorance of humanity to get his riches,while at the same time killing them,very evil indeed.Kwa bahati nzuri many people are now becoming aware of his evil.Hebu angalia mikakati ya conman wenu kwenye clip ifuatayo.

Active
Tuondolee takataka hiyo. Lihabari la miaka ya 1998 halafu kuna mjinga fulani adai eti ni ya sasa!

View attachment 1422984
Mtahangaika sana kumtetea muovu huyo.The truth is,he is a conman and killer!Hebu angalia clip ifuatayo uone uovu wake.

Angalia clip ifuatayo pia uone uovu wanayofanya na Anthony Fauci kujaribu kukua hata wewe,amkeni ninyi.Mtatetea mtu muovu kiasi hicho mpaka lini?Au ni kwa sababu mnakula hela yake chafu aliyopata kwa kuua watoto wetu kwa chanjo.

Marekani siipendi kwa vitendo vyake vya uoneu na kuchochea machafuko, lakini taarifa za uongo sizipendi zaidi. Kama umeshindwa kung'amua tukio lililoripotiwa mwaka 1998 na ukalibeba kama la mwaka 2020, utaweza kweli kuchambua mambo hayo ya Bill Gates?

Endelea kuokota okota kila kitu kama sponji...lenyewe ukiliweka kwenye maji safi lanyonya, maji taka lanyonya, uharo lanyonya, mafuta lanyonya...halibagui wala halichagui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom