Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Status
Not open for further replies.
Dah!.. huyu jamaa amekukosea nini mkuu?

Huyu ni mfadhili mkubwa wa miradi ya afya hapa Africa, ni mtu asiye na makuu acha kumchafulia jina na kumwandika vibaya.
Huyu anapaswa kuchafuliwa,tena sio kuchafuliwa tu,hata ikibidi kun........Nani anaweza kuvumilia unyama huu,ni poyoyo tu!


 
Fake news from fake ID using fake mobile phone
Hata jina lako linaonyesha wazi affiliation yako.Possibly uko kwenye payroll yake na unapokea fedha chafu aliyoipata kwa biashara zake chafu za kuua watoto wetu through the sale of vaccines etc.etc.
 
Dah! Huu ujinga umeletwa hadi huku JF? Naona kuna watu kweli wamepania kushusha hadhi ya JF. Jana tu kuna ndugu zangu “walokole” walinitumia hii kitu eti imeletwa na mtumishi kwenye grupu kanisani. Nilichukia sana.

Tukio la Februari 1998 lililofanywa na mfanya mizaha (prankster) wa kibelgiji dhidi ya Bill Gates linatumiwa na wajinga kuenezea nadharia zao juu ya Gates kueneza COVID 19 na maangamizi mengine kwa binadamu? Huyo jamaa huvizia na kuwashambulia watu maarufu ili kujitengenezea Kiki kwenye international media.

Ndugu zangu jitahidini kutafuta na kufuatilia habari sahihi za dunia. Aidha, nendeni shule kutafuta maarifa au jitahidini kutumia elimu zenu kwa manufaa. Hata elimu, maarifa na taaluma za darasani zinatoka kwa Mungu sio maneno ya makanisani tu. It’s really distressing to witness this descent into unfathomable levels of ignorance, mediocrity and stupidity.
 
Uwe unachambua video na kujua tukio lilitokea miaka mingapi iliyopita, unatuletea habari ya miaka zaidi ya miaka 20 iliyopita ili tujue kuwa ulichelewa kumiliki smartphone?
Tunaongelea tukio,sio date!Kwani hili tukio halikutokea,na lina ashiria nini.Acheni ujinga.
 
Hata jina lako linaonyesha wazi affiliation yako.Possibly uko kwenye payroll yake na unapokea fedha chafu aliyoipata kwa biashara zake chafu za kuua watoto wetu through the sale of vaccines etc.etc.
😀😆😀we jamaa una tatizo, wahi kwa watu wa saikolojia kabla mambo hayajawa mazito
 
areafiftyone, Hii video inaonekana ya muda sana ila kiukwel billi anatakiwa anyongwe kabisa ikiwezekana anyongwe zaidi ya mara saba


Shenzi zake

Sent using My COVID-19
 
😀😆😀we jamaa una tatizo, wahi kwa watu wa saikolojia kabla mambo hayajawa mazito
Wewe si unajua Bush na Bin Laden uovu waliofanya, how can you compare yourself to them kama huna tatizo? Wewe ndiye kwenye tatizo, mimi nina tatizo gani, kufunua uovu?
 
Yaani akili yako shenzi kabisa.Hivi huoni kwamba huko ni kulifanya bandiko lisiwe credible.Jambo la msingi hapa ni kwamba tulio limetokea na kaaibika kwa sababu ya uovu wake.Na kama lilitokea wakati huo litatokea sawa,kwa kuwa watu wana hasira zaidi na yeye.
Akili zako ni kama za nyumbu. Kwa hiyo hilo tukio halikutokea 1999; ulitaka nimjibuje jamaa aliyeuliza swali?
 
It will happen in future.
Hapo sawa ila umeandika uzi kama vile kashambuliwa hivi karibuni na hili linaondoa uhalali wa uzi wako kwani umeamua kutudanganya. Hii si sawa kwani unachukulia watu humu kama mazuzu.
 
Jamaa punguza chuki yako dhidi ya Billgate umeenda okota video ya miaka hiyo kisha una leta habari zako hapa
Are you serious kwamba Bill Gates ni
mtu mwema?Kweli unaamini niliyoandika kwenye bandiko language

Tetea tu,40 yake inakuja.Hata kama ni ya zamani haikutokea?If it happened then,it will happen now,tena verociously.Mtakingia vifua waovu mpaka lini?Niko hapa JF kufunua uovu and I will do it without shame.Kama imekasirika kashtaki kwa baba yako Shetani!

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
I hope hao ambao hawalali kwa propaganda za kumzika Bwana Gates nao wana mbadala wa chakufanya kwa haraka sababu tunahitaji chanjo za magonjwa kama haya (viruses) ili watu tupate choice na tuachane na huyu so called lucifier mwenye mbinu mbaya kwa wanadamu (badala ya maneno matupu and unfouded conspiracies watwambue tufanye nini ) kwa hizo ebola, malaria n.k.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom