Bill Clinton Bowing Down For Barack Obama

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Rais wa zamani wa Marekani Mzee Bill Clinton Amuinamia Rais Barack Obama.

561132_429024763827634_2097067265_n.jpg
 
MziziMkavu, picha hii inatoa tafsiri ambayo Clinton anaonyesha hisia wazi ambazo anamwelekezea Rais Obama, kwani wengi hawakuwa na mategemea makubwa kama angeweza kustahimilimi kwa kiwango hiki hata kufanya makubwa ambayo yamemjengea jina.

Tangu aingie madarakani hakuna vita iliyoanzishwa na marekani
  • Amekomesha vita ya Iraq kama alivyoahidi
  • Ameanzisha rasimu ya bima ya afya kwa wamarekani wote.
  • Amerejesha mahusiano mazuri na mataifa mengi ambayo yalishajenga uadui na Marekani.
  • Na mangine mengi tu.
 
Nimekukubali Mkuu ni kweli Mr Bill Clinton anastahili amuinamie Rais Obama Candid Scope
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu, picha hii inatoa tafsiri ambayo Clinton anaonyesha hisia wazi ambazo anamwelekezea Rais Obama, kwani wengi hawakuwa na mategemea makubwa kama angeweza kustahimilimi kwa kiwango hiki hata kufanya makubwa ambayo yamemjengea jina.

Tangu aingie madarakani hakuna vita iliyoanzishwa na marekani
  • Amekomesha vita ya Iraq kama alivyoahidi
  • Ameanzisha rasimu ya bima ya afya kwa wamarekani wote.
  • Amerejesha mahusiano mazuri na mataifa mengi ambayo yalishajenga uadui na Marekani.
  • Na mangine mengi tu.

umesahau amefunga mjadala wa osama.
And he is coloured!
 
MziziMkavu, picha hii inatoa tafsiri ambayo Clinton anaonyesha hisia wazi ambazo anamwelekezea Rais Obama, kwani wengi hawakuwa na mategemea makubwa kama angeweza kustahimilimi kwa kiwango hiki hata kufanya makubwa ambayo yamemjengea jina.

Tangu aingie madarakani hakuna vita iliyoanzishwa na marekani
  • Amekomesha vita ya Iraq kama alivyoahidi
  • Ameanzisha rasimu ya bima ya afya kwa wamarekani wote.
  • Amerejesha mahusiano mazuri na mataifa mengi ambayo yalishajenga uadui na Marekani.
  • Na mangine mengi tu.

This symbolizes great respect for President Obama.
 
Mauaji ya Gaddafi?????
 
Ameboresha pensheni kwa wastaafu; amejenga mahusiano mazuri ktk ulimwengu wa Waislamu; masuala ya nuclear hatuyasikii sana siku hizi; rate ya ukosefu wa ajira kidogo imepungua; amepunguza makali ya financial crisis kwa kutoa stimulus ya $ 789 bilioni; Kibano kwa Obama; kuweka ratiba ya kuondoa majeshi ya US kule Iraq; sera ya climate change n.k.
 
na hii je unasemaje? Tram Almasi

attachment.php

Mkuu, Unajua alichofanya Clinton mbele ya macho ya 'white supremacists' ni matusi makubwa sana. Ku Klux Klan wanatamani wambeze Mr. Clinton kwa kuwadhalilisha.
Ndio kama hao,ni lazima wammbeze Obama na kuonyesha kwamba Obama si Obama bila kuinuliwa na mweupe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom