kwa taarifa tu,wamerekani nao wako na hazina kubwa tu ya gesi,wala hawaitaji kuja kuchukua gas ya hapa.gas yetu itatumika kuzalisha nishati,na kwa matumizi mengine ya nyumbani.Rais mstaafu wa marekani billy clinton yuko mchini kukagua miradi inayofadhiliwa na plan international,pia kuzungumza na akina mama vikoba,ndgu zangu watanzania wenzangu kunani hapa tanzania mbona kuanzia gesi igundulike marais kibao wa nchi mbali mbali wanakuja tanzania,tujiulize kama watanzania tumeshauzwa au lah!mwenye majibu naomba tusaidie kujua.
Aluta continua.
ni kweli hiyo taarifa ya kuwepo kwa bill clinton nimeipata kupitia breaking news ya mwananchi kama ulivyoiandika hapo, kama kuna mengine kuhusu ziara hiyo tufahamishane.
kukagua miradi inayofadhiriwa na plan international na kuongea na vikoba.tuambie wamekuja kutafuta nini wewe mjanja
kwa taarifa tu,wamerekani nao wako na hazina kubwa tu ya gesi,wala hawaitaji kuja kuchukua gas ya hapa.gas yetu itatumika kuzalisha nishati,na kwa matumizi mengine ya nyumbani.
kukagua miradi inayofadhiriwa na plan international na kuongea na vikoba.
Rais mstaafu wa marekani billy clinton yuko mchini kukagua miradi inayofadhiliwa na plan international,pia kuzungumza na akina mama vikoba,ndgu zangu watanzania wenzangu kunani hapa tanzania mbona kuanzia gesi igundulike marais kibao wa nchi mbali mbali wanakuja tanzania,tujiulize kama watanzania tumeshauzwa au lah!mwenye majibu naomba tusaidie kujua.
Aluta continua.
watakuja wengi tu,nchi imeshatangazwa sana,kila mtu anataka kuja,watakuja watalii,wafanyabiashara,donors,wanamichezo,wakulima,etc.mbona kila siku bongo tujiulize kunani nchi imeshauzwa tusubiri mgao wetu kamanda
wewe labda sasa utuambie wanakuja kufanya nini?changa la macho mungu akusaidie
... bad news!! kale ka-cockloach kana ushawishi sana!Anakagua miradi inayofadhiliwa na taasisi yake. Na Rwanda pia atapita.
Hawa wamarekani kutusaidia vizuri, na hasa kwa hii issue inayotusumbua ya muungano, wangechukua haka kanchi kawe state yao nyingine.
Mara Bush, mara Obama, hatujakaa sawa Clinton. Vigesi vyetu na urani vinawatoa macho
mbona hapo jibu ni rahisi sana? ccm na serikali yake imewauza wananchi wake ndio maana hata swala la gesi linafanya kwa matakwa yao na wamesema ije dar na serikali lazima ipige wananchi wake ili wawafurahishe mabwana zao na pia rais anaingia mkataba 18 inayo semwa wazi ni mitatu sasa jiulize iliopo ndani ya file hapo utakuta kigamboni tayari mali ya wamarekani,,,, bagamoyo tayari mali ya wachina na maeneo mengi sana hapa nchini yapo hivyo sasa kitachotia hadsira zaidi unalisikia mtu linasema kuwa kidumu cha cha mafisadi na watu wanajibu maanayake ni sawa na kusema "mdumu kuuzwa"Rais mstaafu wa marekani billy clinton yuko mchini kukagua miradi inayofadhiliwa na plan international,pia kuzungumza na akina mama vikoba,ndgu zangu watanzania wenzangu kunani hapa tanzania mbona kuanzia gesi igundulike marais kibao wa nchi mbali mbali wanakuja tanzania,tujiulize kama watanzania tumeshauzwa au lah!mwenye majibu naomba tusaidie kujua.
Aluta continua.
tuambie wamekuja kutafuta nini wewe mjanja
Clinton yupo nchini na mkewe kwaajili ya kukagua miradi ambayo iko chini ya ufadhili wake.
sasa nauliza kwani hapo Kagame anahusikaje??