Katika uongo ambao uko wazi ni huu. Huwa najiuliza sana aisee. Kweli Tsh 27000/- isifunge mita ? Kama vijijini jambo linawezekana na route zao ni ndefu iweje hili mjini lishindikane na existing line ziko karibu kona ? TANESCO hela ipo.Huku Maharage anadai hana fedha za kuhimili mita za 27000 shs
Ubaya wa uovu kadiri unavyozidi kuufanya unauzoea na unauona wa kawaida. Hili ndilo linalo onekana, hapo wenzako wanaona kawaida tu, ndiyo tunarudi katika maana ya msemo huo.Daah kweli ukipenda chongo huita kengeza
Posho si halali kabisa iwapo analipwa mshahara wake.Kulipana posho si vibaya ni halali kwa mfanyakazi kupata posho anapotimiza majukumu yake
Posho si halali kabisa iwapo analipwa mshahara wake.
Tanzania ya shamba la bibi ilishafufuka!
Posho si halali kwa mfanyakazi anayelipwa mshahara kwa kufanya kazi hiyo hiyo hiyo kwa vile huwa haiko kwenye bajeti ya kazi hiyo. Posho za wabunge pia siyo halali ila sasa wao wamziweka kwenye bajetiPosho ni halali
Utakuta suruari yako kwa nyuma ina tobo huku unajiona mjanja kuwalinda watoboa surualiKwani Hawa viazi mbatata wa Kibwengo magufuli wanajua Hilo.
Wao ilimradi wamepata Agenda
Kaa hapo kidogoU
Utakuta suruari yako kwa nyuma ina tobo huku unajiona mjanja kuwalinda watoboa suruali
Good pointMimi ndiyo maana nawaambia watu!
Ukipata nafasi na wewe piga,kama mfanyabiashara sijui mfanyakazi wa umma hela imewekwa mezani wewe kunja kafie mbele siyo unamkomalia mtu mifaini mikuubwa mwisho wanaenda gawana watu kama wanagawana maembe dodo.
Tumia hata sehemu za siri kufikiri gazeti si limesema ndani ya miezi 10?Kwani Hawa viazi mbatata wa Kibwengo magufuli wanajua Hilo.
Wao ilimradi wamepata Agenda
Tumia hata sehemu za siri kufikiri gazeti si limesema ndani ya miezi 10?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Chadema ndy wamekula hizo posho mkuuUko sahihi lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa