Bilioni 61 zatumika kulipana posho TANESCO

Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na ufisadi wa kutisha uliofanywa na shirika la Tanesco kwa miezi kumi iliyopita kwa kutumia zaidi ya billioni 61 kwa kulipana posho viongozi wa shirika hilo la uma kila wanapofanya vikao au ziara mbalimbali za kikazi ndani ya nchi.!

Hata hivyo Zito Kabwe amesifia hali hiyo na kusema hayo ni matumizi ya kawaida tu.View attachment 2205684
Unawashitaki kwa waliolipana zaidi ya hizo! Hamna hatua zozote zilizochukuliwa, nalo limepita.
 
Tanesco wanatumia vibarua wengi kwemye kazi zao na ndio mwanya huo wanatumia kuiba.
 
Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na ufisadi wa kutisha uliofanywa na shirika la Tanesco kwa miezi kumi iliyopita kwa kutumia zaidi ya billioni 61 kwa kulipana posho viongozi wa shirika hilo la uma kila wanapofanya vikao au ziara mbalimbali za kikazi ndani ya nchi.!

Hata hivyo Zito Kabwe amesifia hali hiyo na kusema hayo ni matumizi ya kawaida tu.View attachment 2205684
Posho hizi ziko kwa taratibu za kiutumishi. Nadhani labda taratibu zibadilishwe vinginevyo hakuna atakayeziacha kama utaratibu unaruhusu. Huku duniani hakuna pesa tamu kama posho maana haina kodi ya serikali. Wengi waliokuwa wanazilalamikia ndio wanazila baada ya kuingia kwenye mfereji wa posho.
 
Rais Samia alichukizwa sana na hiki kitendo
 
Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na ufisadi wa kutisha uliofanywa na shirika la Tanesco kwa miezi kumi iliyopita kwa kutumia zaidi ya billioni 61 kwa kulipana posho viongozi wa shirika hilo la uma kila wanapofanya vikao au ziara mbalimbali za kikazi ndani ya nchi.!

Hata hivyo Zito Kabwe amesifia hali hiyo na kusema hayo ni matumizi ya kawaida tu.View attachment 2205684
Hizi uzi za zamani wakati wa januari na maharage halafu walidiriki kupinga wosia wa Magufuli kwamba bei ya umeme ishuke. Magufuli rais mwenye maono alitambua umeme bei ni yakutisha na alitaka bei ishuke kuwezesha wananchi kumudu na kuwavutia wawekezsji. Wakati ulaya na marekani unit ya umeme ni kama usd 0.21 tanzania ni usd 12.0. Makamba na maharage walitaka faida ya kushuka gharama ya uzalishaji umeme kutokana na uwekezaji wa umma iliwe na vigogo kwa posho na mishahara minono na kupika madili.
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom