Bilioni 61 zatumika kulipana posho TANESCO

Bilioni 61 zatumika kulipana posho TANESCO

Kuna kipindi ninefanya kazi hotel mojawapo dodoma tulipata kushinda zabuni ya kupeleka break fast kwenye ofisi za NSSF na TANESCO aseee ile chai tuliokuwa tunaipelekea pale kila siku sio ya kitoto aseee pesa inaliwa na mchana watumishi almost wootw wanakuja kula buffet hotelin jaman nyie nyie nyie nyie nyie
Bilioni 20 za maandazi na keki.
 
Kwani Marekani hawalipani Posho kiasi hiki ?

Au sababu ni Tanzania ishakuwa Makamba..., Tanesco..., Makamba..., Tanesco !!!
 
Kipindi Cha magufuli hizi bilion 60 zilikuwa sio pesa kina Doto James wamepiga sana. Huamin muulize makam wa Rais afu hoji Ile ripoti ya ukaguzi wa BOT!!!.
Acha watu wale pesa maana watu wakidai katiba mpya itakaemshughulikia Kila mtu mnakuja na hoja za kiccm. Ni ujinga kuleta Uzi wa pesa za umma wakati unapinga kuwa na KATIBA MPYA ambayo ndio msingi wa kuwa Taasisi imara zitakazomshughulikia Kila mtu bila kuangalia ni nani na yupo nyuma ya nani.
Doto James alikufa au yuko hai?
 
Kwani wanakula ya mama au baba yao?

Yaani watukamuwe halafu wewe unashabikia?

Mamayo wewe!
 
TUNALAMBA ASALI makamba SR VOICE, ILA VIJANA WENZAGU TUTAISHIA KULALAMIKA TUINGIE KWENYE MFUMO NASISI TULE, HUU NI WAKATI WA KULA, TUTAISHIA KUNYOOSHEA VIDOLE WATU FISADI WAKATI WANA KULA WEWE UNABAKI KUZABAA, NAWASIHI MSIFANYE MAKOSA TENA.
 
UTAWEZA KUINGIA KWENYE MFUMO KWA KUTUMIA UBINI WA NANI ??!!!! HIVI HUWA UNADHANI UNAWEZA UKAINGIA KWENYE MFUMO HIVI HIVI TU ?? you must be joking !!!!!
 
7D8A5915-975E-43F1-8E2A-AE2A551D9EA1.jpeg

Deni la TANESCO ni 3.6% ya GDP na wadau wa maendeleo wanaona ni sensitive to shocks (maana yake mzaha kidogo kwenye kulisimamia shirika au changes to external environment) awawezi lilipa deni wenyewe wanapeleka mzigo serikalini.

Ni miaka mitatu tu ya mwisho ya Magufuli ndio waliweza lilipa deni lao TANESCO wenyewe na mmoja kati ya hiyo kutengeneza faida.

Kinachoendelea sasa hakuna shaka shiriki sio linaenda rudi kwenye tengeneza hasara, bali atakulipa madeni yake itakuwa shida; mzigo wa kulipa madeni yake unarudi tena hazina.

Wakati wanachezea hela kila uchao, hawa watu wana dharau sana walipa kodi wa nchii, mapato yao badala ya kutumika kwenye maendeleo hela zinaenda kulipa madeni yanayotokana na uzembe na ufisadi unaofanywa na management.

Bado tena wanaenda jiingiza kwenye unnecessary contract za kuzalisha umeme, maza huko USA amesaini mikataba miwili ya umeme unaenda ongeza suppliers payments zisizo na ulazima stiglers itakapoisha.

Waliikuta nchi pazuri
 
Hili gazeti s lakuoiamini kbsa inapenda kuzushabyaaruki
 
UTAWEZA KUINGIA KWENYE MFUMO KWA KUTUMIA UBINI WA NANI ??!!!! HIVI HUWA UNADHANI UNAWEZA UKAINGIA KWENYE MFUMO HIVI HIVI TU ?? you must be joking !!!!!
Mifumo ni mingi sio kila kitu tukuwekee hapa, jiongeze ndugu, unaweza ukawaanzisha biashara ukakwepa kodi, wewe vipi, in general tafuta chaka ule, wewe toka tuseme kina chenge wezi umeongeza nini katika mfuko wako? wewe endelea kulala wenzio wana piga, mimi sifanyi makosa hayo tena, in facts nataka nyie humu jamii forums ndo mje mseme mwana familia mwenzetu wa jamiifroums xxxx ni fasadi.
 
Back
Top Bottom