Bilioni 61 zatumika kulipana posho TANESCO

Bilioni 61 zatumika kulipana posho TANESCO

Tanzania ni Tajiri ! Tshs 61 bil za posho?
 
Engineeer soma hio...

Urefu wa kamba unasoma ngapi huko.....
 
Kwani wanakula ya mama au baba yao?

Yaani watukamuwe halafu wewe unashabikia?

Mamayo wewe!
Magufuli zile 1.5T zilikuwa za baba yake au mama yako?. Mbona hukuhoji wewe Teleza!!.
 
Kulipana posho si vibaya ni halali kwa mfanyakazi kupata posho anapotimiza majukumu yake
Dah....Bora umesema mkuu.....Kuna mipuuzi humu ndani hata haujui urefu wa kamba ya Tanesco inapoishia....halafu inaropoka ropoka tu....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah....Bora umesema mkuu.....Kuna mipuuzi humu ndani hata haujui urefu wa kamba ya Tanesco inapoishia....halafu inaropoka ropoka tu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu huo sio wizi posho ni haki ya mfanyakazi
 
Afu wanataka wawe wapole, hayo ni majibu ya kuishi kirafiki kwenye shirika
 
Tutaandika nini ili Mama amtoe hapo huyo mwanaye Mwezi wa kwanza?

Inakera sana na inakatisha tamaa sana Kwa walipa kodi, kulipa kodi ili viongozi wakagawane?

Nakubaliana na wote wanaodai kuwa katiba ni mbovu, haina meno ya kumng'ata Rais anapomaliza muda wa kuongoza?

Ingelekuwa na meno, Mama asingeweza kukubali kuwa na mawaziri majizi ambayo hata mwaka na nusu hayajamaliza, lakini hasara yaliyoitengenezea nchi, ni mabilioni ya fedha
Hawezi kumtoa, anaogopa ndugu za jamaa watamuona ni adui
 
Back
Top Bottom