Nyuma ya Pazia hawa watu wanaomba msamaha huko...
Acha kuamini kelele zao
Mwelekeo wa kuelekea wapi?Utawala wa KIDHALIMU umepoteza muelekeo mapema kabisa, tutaheshimiana tu. Muda utaongea.
Sema ni mjumbe wa Bunge la EU. Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga au?EU wametoa hoja zao ambazo ni ....
I.kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu,
2.polisi kuhujumu uchaguzi,
3. kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona.
Lakini tujiulize je madai ya EU ni ya uongo?
1.Je vyombo vya dola havikutumika kuvuruga uchaguzi?
2. Je, watu hawakukamatwa?
3.Je hakuna walioripotiwa kuuawa?
4. Je hatukuchukua pesa za corona? Kwanza kuchukua pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona ni utapeli. Serikali imejipatia pesa kwa njia za udanganyifu. Hii ni jinai, na ni uhujumu uchumi.
"Tunarahisi wa Ajabu haijawahi kutokea"
TUNDU LISSU.
Kuelekea uchumi wa Zimbabwe, huwezi kuona hapo Lumumba wewe si una uhakika wa BUKU SABA daily?Mwelekeo wa kuelekea wapi?
EU wametoa hoja zao ambazo ni ....
I.kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu,
2.polisi kuhujumu uchaguzi,
3. kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona.
Lakini tujiulize je madai ya EU ni ya uongo?
1.Je vyombo vya dola havikutumika kuvuruga uchaguzi?
2. Je, watu hawakukamatwa?
3.Je hakuna walioripotiwa kuuawa?
4. Je hatukuchukua pesa za corona? Kwanza kuchukua pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona ni utapeli. Serikali imejipatia pesa kwa njia za udanganyifu. Hii ni jinai, na ni uhujumu uchumi.
"Tunarahisi wa Ajabu haijawahi kutokea"
TUNDU LISSU.
Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T
Canada ni US700M sawa na SH 1.7T
US ni US1.5BIL
Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T
sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics
Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS
View attachment 1632218
Unataka kujifanya unanijua kama mke wangu anavyonijua, ama ni yeye?Kumbe wewe ni mjinga?
Wewe hujui kama investment ni hisani ndio maana nchi zinatumia kila mbinu kuvutia wawekezaji? Hadi sasa China inavutia aawekezaji.Kwanza Investment ni hivyo ni investment ..wakiona TZ hakuna faida wanakwenda Kenya au Madagascar.
GDP ya Tanzania is US58Bil Halafu hizi zote zinakuwa Sawa na TSH. 1.3 Trillions!? Unashida kiafya au umeamua kudanganya tu.. honestly!?
Investment sio hisani.. ni wao wanatafuta pesa.. na investment kama hizi ndio zile zina masharti ya kwenye Migodi wanachukua kila kitu wanawaachia mashimo.. mkikaa kimya hamtawasikia wakiongea milele..
Muda wote migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi inafanya kazi uliwahi kusikia wanalalama Afrika wanaibiwa!? As long as they are making profits huwezi sikia kelele.. ila maslahi yakianza kuguswa kelele zinaanza.
Kama tungegawana nao vizuri kwenye investment zao zote.. kukopa tungekopea nn.. ikiwa Twiga inapokea mpaka tens of milions of USD kama gawio!? Kwenye Mgodi mmoja!? Kwa Nusu mwaka!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umejiuliza kwanini hizo nchi zinatoa misaada kiasi kikubwa kama hicho? Na wewe unaamini kuwq ni kweli misaada?Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T