Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T

Canada ni US700M sawa na SH 1.7T

US ni US1.5BIL

Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T

sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics

Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS

1606048947126.png
 
ccm wanajua miaka 60 ya uhuru wameitumia kuzalisha wajinga na wagonjwa wa akili ambao hawawezi kutafakari wala kuchambua mambo hivyo hata wakisema mavi ni ugali bado wafuasi wao watawashangilia.

ccm haitaki watu wenye kuelewa na kuchambua mambo kama hivi, eti hatutaki misaada, hadi unacheka.

Bila misaada muhimbili na hospitali zetu zitajaa marehemu, wataalamu wote wa afya nchi wanapata mafunzo kwa vitendo kupitia misaada, serikali haiwezi kuwaendeleza bila misaada.

Nenda pale Muhimbili utakuta madaktari wote wakitaka kusoma postgraduate lazima waombe scholarships za wazungu au wapewe, serikali ya wanyonge haina hela.

Bila misaada tafiti zote kuanzia ya nbs(najua mnajua kuhusu takwimu na benki ya Dunia), vyuo vikuu na kila mahala zitakufa kifo cha mende mzee.

Barabara za lami Dar zinajengwa mitaani kwa hisani ya benki ya Dunia. Bajeti Trilioni 34, makusanyo Trilioni 14, hizo 20 zinatoka wapi?

Ccm hata wakipewa miaka 800 hakuna kitu watatufanyia.
 
EU wametoa hoja zao ambazo ni ....
I. Kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu,
2. Polisi kuhujumu uchaguzi,
3. Kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona.

Lakini tujiulize je madai ya EU ni ya uongo?
1. Je vyombo vya dola havikutumika kuvuruga uchaguzi?
2. Je, watu hawakukamatwa?
3. Je, hakuna walioripotiwa kuuawa?
4. Je hatukuchukua pesa za corona? Kwanza kuchukua pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona ni utapeli. Serikali imejipatia pesa kwa njia za udanganyifu. Hii ni jinai, na ni uhujumu uchumi.

"Tunarahisi wa Ajabu haijawahi kutokea"
TUNDU LISSU.
 
EU wametoa hoja zao ambazo ni ....
I.kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu,
2.polisi kuhujumu uchaguzi,
3. kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona.

Lakini tujiulize je madai ya EU ni ya uongo?
1.Je vyombo vya dola havikutumika kuvuruga uchaguzi?
2. Je, watu hawakukamatwa?
3.Je hakuna walioripotiwa kuuawa?

Sema ni mjumbe wa Bunge la EU. Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga au?
 
EU wametoa hoja zao ambazo ni ....
I.kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu,
2.polisi kuhujumu uchaguzi,
3. kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona.

Lakini tujiulize je madai ya EU ni ya uongo?
1.Je vyombo vya dola havikutumika kuvuruga uchaguzi?
2. Je, watu hawakukamatwa?
3.Je hakuna walioripotiwa kuuawa?
4. Je hatukuchukua pesa za corona? Kwanza kuchukua pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona ni utapeli. Serikali imejipatia pesa kwa njia za udanganyifu. Hii ni jinai, na ni uhujumu uchumi.

"Tunarahisi wa Ajabu haijawahi kutokea"
TUNDU LISSU.

Huu mwandiko niwa Malisa tafadhali mpe heshima yake umecopy na kupaste hapa uku ukipunguza vitu
 
Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T

Canada ni US700M sawa na SH 1.7T

US ni US1.5BIL

Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T

sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics

Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS

View attachment 1632218

Kwanza Investment ni hivyo ni investment ..wakiona TZ hakuna faida wanakwenda Kenya au Madagascar.

GDP ya Tanzania is US58Bil Halafu hizi zote zinakuwa Sawa na TSH. 1.3 Trillions!? Unashida kiafya au umeamua kudanganya tu.. honestly!?

Investment sio hisani.. ni wao wanatafuta pesa.. na investment kama hizi ndio zile zina masharti ya kwenye Migodi wanachukua kila kitu wanawaachia mashimo.. mkikaa kimya hamtawasikia wakiongea milele..

Muda wote migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi inafanya kazi uliwahi kusikia wanalalama Afrika wanaibiwa!? As long as they are making profits huwezi sikia kelele.. ila maslahi yakianza kuguswa kelele zinaanza.

Kama tungegawana nao vizuri kwenye investment zao zote.. kukopa tungekopea nn.. ikiwa Twiga inapokea mpaka tens of milions of USD kama gawio!? Kwenye Mgodi mmoja!? Kwa Nusu mwaka!?
 
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe hujui kama investment ni hisani ndio maana nchi zinatumia kila mbinu kuvutia wawekezaji? Hadi sasa China inavutia aawekezaji.

Mwaka jana Rais wa China amezunguka Ulaya yote akiomba wawekezaji waende China halafu rais wa wanyonge amejifungia chamwino anaenda kuomba misaada China, China anaomba wawekezaji kutoka kwa mabeberu halafu rais wa wanyonge anasema hataki mabeneru kisha anaenda kuomba msaada China inayotegemea Mabeberu.

Twiga kupokea gawio gani? Zile ni hela za kishika uchumba na sio gawio, hivi unafahamu maana ya gawio kweli wewe ama ni wale wale mazao ya ccm, wakiwaambia mavi ni sukari wote mnasema mavi ni sukari.
 
Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T

Canada ni US700M sawa na SH 1.7T

US ni US1.5BIL

Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T

sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics

Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS

View attachment 1632218
Umejiuliza kwanini hizo nchi zinatoa misaada kiasi kikubwa kama hicho? Na wewe unaamini kuwq ni kweli misaada?

Sasa kama nchibza Ulaya sisi qantupa kiasi kikubwa namna hiyo nchi ngapi hizo nchi za Ulaya zintoa hisani kwenye nchi nyingine masikini? Kama wao wangekuwa na hela za kumwaga hivyo, nafikiri wasinge waacha waafrika wafe kwenye Mediterranean See.

Jamani ndugu zangu msijidhslilishe kiasi hicho. Yaani mnaichukia nchi yenu mpaka mnakubali uongo mmaolishwa mchana kweupeee! Mambo mengine naomba mjiongeze wenyewe. Yaani hata ile uwezo wa kuhoji hamna? Masikini viumbe wa wakitanzania.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom