Weusi sisi ni matahira wa kuzaliwa naoAfricans will never get civilised! Shame!
Miaka ya 98,99 kuna baharia mmoja alizikwa makaburi ya mwananyamala akiwa na suti kali kali na cheni na pete ya dhahabu mbn usiku tu wahuni walimfukua na kukwala kila kituWahuni lazima watalifukua hilo kaburi kubeba hiyo midolari.
Haya ni masharti.Pesa ni nyara za serikali, hakuna ujinga kama huo utafanyika.... hivi yule Ivan wa Zari si ilikuwa stori hizi hizi!
Naamini hata huko wahuni watakuwepo na watachukua mzigo wao mapema tuMiaka ya 98,99 kuna baharia mmoja alizikwa makaburi ya mwananyamala akiwa na suti kali kali na cheni na pete ya dhahabu mbn usiku tu wahuni walimfukua na kukwala kila kitu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Haya ni masharti.
Hadi wiki 2 zipiteKwani maiti yake inazikwa lini?
Hii pisi (wanavyoita vijana) iliungua kwenye rolls royce ikijiona.
But nakumbuka huyu mwamba aliwahi kuzungumzwa humu. View attachment 1624724