Bilionea Ginimbi atazikwa na gunia la dola

Mpaka hapo majambazi wa Zimbabwe hawana sababu ya kwenda kuvamia watu walio hai na kuwapora pesa ilihali kuna maiti anaishi na madola ya pesa kwenye kaburi! Yaani hata wamzike ndani ya nyumba madamu wameshatangaza kumzika pesa, hapo lazma patavamiwa tu!
 
Sad. Ujinga ni kitu kibaya sana. Pesa isiyotumika kununua au kulipia kitu haina thamani zaidi ya kile kikaratasi ilipochapishiwa.

Ni mtu mjinga kweli kweli ndiye hataelewa kuwa maiti haiwezi kuzikwa na gunia la pesa bali na gunia la makaratasi (kama ni noti). Kweli hawakukosea waliosema “ushamba mzigo”.
 
Ebu tuonyeshe kwanza hiyo picha ya gunia tujipange huku kuja huko Zimbabwe na majembe yetu kuja kulifukua.
 
Hii pisi (wanavyoita vijana) iliungua kwenye rolls royce ikijiona.

But nakumbuka huyu mwamba aliwahi kuzungumzwa humu.
Screenshot_2020-11-12-12-42-48-206_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Mwanangu angeanza kusoma chekechea mwakani kama mamake salma asingekula nauli yangu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom