Bilion 1.3 zatumika kuitangaza Tanzania nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bilion 1.3 zatumika kuitangaza Tanzania nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babuji, Dec 18, 2008.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANZANIA imetumia zaidi ya Bil.1.3 kutangaza vivutio vya utalii vya taifa nje ya nchi kupitia television ya CNN na ABC kwa kipindi cha miezi sita

  Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania[TTB] Peter Mwenguo alisema matangazo hayo yaliligharimu taifa Sh.875 milioni kwenye television ya CNN nda Sh.156.25 milioni kwenye television ya ABC.

  Alisema gharama za matangazo zinatofautiana kutoka kwenye chombo kimoja hadi kingine lakini kwenye television ya CNN tunalipa dola za Marekani 700,000 na ABC dola 125,000 katika kipindi cha miezi sita.

  Source: NIFAHAMISHE Tanzania news portal
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ..sasa follow up tumepata tulichotaka au? kama inalipa spend more if not cancel it!
   
 3. B

  Babuji Senior Member

  #3
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walichosema wao baada ya kutoa taarifa hiyo ni kwamba bodi hiyo sasa itatilia mkazo zaidi utalii wa ndani kuliko utalii wa nje ili kupunguza gharama zinazotokana na matangazo nje ya nchi.

  hapo ...
   
 4. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2008
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hizo ni pesa nyingi sana kwa hayo matangazo. Wanaweza kuitangaza Tanzania kwa njia nyingi nyinginezo ambazo hazina "gharama" kama hizo.
  Kwa mfano:
  Marekani kuna "Arts Exhibitions" nyingi sana....nimeshawahi kuhudhuria kadhaa wakati nikiwa kazini na pia kwa mialiko ya marafiki lakini kila nikienda huko nakutana na Ubalozi wa Kenya ukiitangaza nchi yao pamoja na kuuza vinyago.
  Sisi pia tunaweza kufanya vitu kama hivyo kwa kuzitumia balozi zetu...(hasa hapa Marekani) kwa kuitangaza nchi yetu....na gharama haitakuwa kubwa kiasi cha mamilioni kama hayo yaliyotajwa na waziri.
   
 5. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ingawa kwa serikali ya Tanzania kutangaza CNN na ABC ni kitu kizuri lakini pia waangalie sehemu nyingine zaidi za kutangaza ambazo zimeshamiri kwa kasi na kuonyesha mafanikio. Hivi sasa watu wengi wanatumia internet kwa hiyo ni muhimu kwa serikali kutilia mkazo kutoa matangazo yao kwenye tovuti mbalimbali ili kuweza kuvutia watumiaji wa internet. Kitu kingine wajitahidi kutuma wawakilishi kwenye festivals mbalimbali zinazokuwa nyingi wakati wa summer ambapo potential tourists huwa wanakuwepo wengi.
   
 6. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2008
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa serikali hatuwezi kuwalalamikia, ni money well spent. Sasa kama tukiweza kuwafundisha yale maboga yetu kule Ministry of Energy & Minerals kugoogle New power generators plants with warranty tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.
   
 7. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #7
  Dec 18, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  But was it a worthwhile undertaking? 1.3bn kwa utangazaji-there must be something wrong with our priorities!!
   
 8. Y

  YE JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Do these people think?
  A lot of tourists are trying to save their money as the economy is going to the toilet.
  Why would someone keep putting ads to attract nobody?

  Bad timing once again..........
   
 9. A

  Alpha JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Don't understand, do you think advertising is a waste of money. Or do you think 1.3bn is too much?

  If so i gotta disagree with you on both. Adversting is absolutely necessary and 1.3bn is really not enough. They should be spending at least 10X that. The quality of the TZ advertisement on CNN was terrible. It looked like it was done by some high school senior for film class.

  Take a look at the quality of the adverts for:

  India - "Incredible India"
  Malaysia - "Malaysia truely Asia"
  South Korea - "Sparkling Korea"

  etc
   
 10. Y

  YE JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I do agree with you, they should advertise! but don't you think, they should do it when the world economy starts to settle?
  People are broke everywhere, very few people are thinking about Safari's right now..
   
 11. A

  Alpha JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I agree they should hold off or limit the advertising until the financial crisis starts to wane.

  However i thought they are talking about the money spent over the whole year i.e before the financial crisis began.
   
 12. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #12
  Dec 18, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Njia effective ya kuitangaza Tanzania ni kuandaa events za kimataifa mara kwa mara. Kufanya hivyo unaua ndege waili kwa mpigo, kwanza matukio hayo yanawaleta watu wa nje kwa gharama zao (unapunguza gharama za matangazo) halafu watu hao wanaporudi kwao, wao ndio wanaitangaza zaidi nchi kwa mdomo na kwa lugha inayoeleweka vizuri kwa watu wa kwao.


  Kwanza tusafishe jiji la Dar es Salaam na kupanga mitaa yake vizuri, na vile vile kuweka bustani nzuri za kupumzikia. Harafu tujenge kumbi kubwa za kufanyia matukio mbalimbali ya kimataifa. Baadhi ya mambo ya kimataifa tunayoweza kufanya ni pamoja na kuandaa mapambano ya ngumi, mashindano ya urembo, mipira ya vikapu (tumtumie Hasheem vizuri sana kwa upande huo kwa vile yeye ni star anayetambulika au anayeweza kutambulika kirahisi kimataifa), tuanzishe tuzo mbalimbali za kimataifa, yaani badala ya kuacha ulimwengu usubiri Academy Awards za Hollywood na Nobel Prizes za Sweden tu, tunaweza kuanzisha tuzo zetu za kitanzania na kuzitoa kwa watu mashuhuri duniani wakati wa matamasha maalum yanayokuwa yanafanyika Dar es Salaam.
   
 13. K

  Koba JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ..spend spend spend mwanangu watakuja tuu na dola zao,bila kujitangaza nani atakujua hata kama una kila kitu? ila matangazo yaendane na high quality service on the ground la sivyo feedback zinaweza zikawa disaster kwenye sector nzima ya utalii maana wazungu feedback kwao inachukua part kubwa sana kwenye maamuzi yao
   
 14. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii, Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) waondoe kizingiti cha kodi kinachozuia ndege nyingi kutua Kilimanjaro Airport.

  Ndege nyingi sana zinatua Nairobi na Mombasa Kenya, halafu tena eti hao abiria/watalii waanze kutafuta usafiri mwingine kwenda Arusha kwa ajili ya maandalizi ya safari au kupanda mlima Kilimanjaro.

  Makampuni mengi sana ya kenya yanauza Hoteli za Zanzibar. Tena wanauza bei mbaya. Kwa kutumia Kenya Airways wana fly kwenda Zanzibar and back Nairobi.

  Njia rahisi ya kutangaza utalii 'tourism marketing' ni kurahisha usafiri. Wazungu wakija moja kwa moja Tanzania, ratiba ya kwanza ni kutembelea Tanzania. PAle macho yanapotzama kwanza ndio chaguo la kwanza kabla ya mbali.

  Hata kama mtalii atakuja Tanzania, akiwa kesha pitia Kenya. Kenya wanafaida kubwa kuliko sisi. Kwa nini? kwa sababu bidhaa nyingi kama vinyago, kanga, vikoi, Tanzanite, gold,maasai bomas wanakuwa wameshapata kenya.

  Kwa hiyo kutangaza utalii kwenye magazeti na TV za nje au mabasi London hiyo ni sawa, Lakini hao watalii watafikaje Tanzania?
  Tutangaze sisi watanzania halafu watalii kwanza wapitie kenya ndipo waje Tanzania.

  Bodi ya utalii waishauri wizara ya Fedha na Mipango wapunguze kodi ya kutua ndege pale KIA na wapunguze kodi ya mafuta na kuweka mikakati mingine kuvutia ndege nyingi kutua KIA.

  Mtu akitoka labda Ufaransa, akitua Kenya kuna unafuu/upungufu wa nauli wa dola kama 400 mpaka 800 kwa mtu. Sasa kwa nini mtalii asitue kenya kwanza ndipo achukue basi la dola 30 mpaka Arusha?
   
 15. B

  Babuji Senior Member

  #15
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena mzee
   
 16. B

  Babuji Senior Member

  #16
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njia effective ya kuitangaza Tanzania ni kuandaa events za kimataifa mara kwa mara.
   
 17. A

  Alpha JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yet we continue to shoot ourselves in the foot. So we spen billions advertising and then frustrate tourists trying to get here.

  SAA will not increase flights to Tanzania
  afrol News, 18 December - South Africa's major Airline, South Africa Airways, has said it will not chip in to assist Tanzania despite being aware that the local airliner has been grounded by the country's Civic Aviation Authority (TCAA) on safety grounds.

  TCAA cancelled the flights after an inspection and having discovered more than 500 operational gaps, including poor inspection of aircraft and a shortage of pilots and aircraft technicians a year ago.

  The authority statement said Tanzania's national airline was grounded last week as a precautionary but very necessary action to avoid the possibility of the airline compromising flight safety.

  According to the Authority statement issued on Wednesday, the aircraft were airworthy and passengers' safety had not been at risk before the suspension. Local reports said the suspension had raised fears that Air Tanzania could be suspended from the International Air Transport Association (IATA).

  The Authority said however Tanzanian airlines could resume in about a week if the TCAA's requirements were met, as required documentation had already been submitted to the airliner.

  Robyn Chalmers, SAA's head of group corporate affairs, said SAA would continue to monitor demand but flight schedules would remain the same for now.

  Zanzibar and Mount Kilimanjaro which have become popular holiday destinations, are likely to suffer with the current shortage of flights in the country.

  afrol News - SAA will not increase flights to Tanzania
   
 18. A

  Alpha JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  We destroy our History and uniqueness to erect skyscrapers. As if tourists are coming to Tanzania to look at skyscrapers. Dar needs to be cleaned up, old historic buildings should be renovated not destroyed. People who own buildings on certain streets in the city should be made to make sure their buildings are painted and clean otherwise they should get fined, Signs are Billboards need to follow guidelines in terms of size and location.... I mean there are things that can be done that do not require a great deal of money to improve the look of Dar but nobody bothers. When are we going to get leaders with vision.

  Real estate developers erasing Dar`s history


  IN THE NAME OF DEVELOPMENT: These two buildings on adjacent plots to the famous Salamander Building along Samora Avenue are also in line for demolition anytime soon. The farther building currently houses the popular Alcove Restaurant).
  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  MANY of Dar es Salaam’s ancient buildings with historical and architectural significance have been lined up for demolition to pave way for the construction of modern skyscrapers, it has been confirmed.

  According to THISDAY findings, more than 10 such buildings, structures and sites in the city centre protected under national antiquities legislation are now under direct threat from real estate developers.

  Scores of these buildings have already been pulled down to make way for ’modern’ structures as Dar es Salaam undergoes a huge metamorphosis into the quintessential concrete jungle.

  Officials have confirmed that 107 other such buildings, structures and sites in historical towns like Mikindani in Mtwara region, Kilwa Kivinje in Lindi Region, Bagamoyo in Coast Region, and Pangani in Tanga Region are also in danger of being mowed down in the name of development.

  The Antiquities Act No. 10 of 1964 and Amendment Act No. 22 of 1979 both provide for the preservation and protection of sites and objects of national, archaeological, historical and cultural interest.

  According to the 1964 law, a building, site or structure is declared a conservation area when it is a valuable national heritage, contains a homogeneous group of monuments, or has valuable national heritage for its historical, architectural, social or cultural value.

  However, officials say that in disregard of these laws, the Ministry of Lands, Housing and Human Settlements through its agency � the National Housing Corporation (NHC) - has embarked on the demolition of historical structures fitting these descriptions.

  THISDAY investigations have established historical buildings which have either already been demolished or are in line for demolition within the city centre environs as including plot number 1666/75 along Indira Gandhi Street (currently housing Al-Saif Stationery), plot number 1164/18 at the junction of Jamhuri and Mrima Streets (currently occupied by Masasi Signwriters and Standard Electronics) and plot number 923/19 along Jamhuri Street (now with Kusini shop).

  Also plot numbers 1169/19 (with the Gadhri Nivas building) and 1167/19 (currently housing the Jaraj building) both along Jamhuri Street, plot number 1289/22 also along Jamhuri Street (with the Kanti building � 1936), and plot numbers 322/32 (currently housing Shivacom), 567/48 (with the New Acacia - 1937 building), 646/32(housing the famous Alcove Restaurant), all along Samora Avenue.

  Exactly a month ago (November 18), THISDAY sent the then permanent secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism, Ms Blandina Nyoni written questions on the issue. However, there has been no response from the ministry so far.

  The Department of National Antiquities that deals with the protection and conservation of historical buildings, sites and structures operates under the ministry.

  One of the more famous buildings already razed down was the MC George building - popularly known as Salamander Building - at plot number 2199/6 at the junction of Samora Avenue and Mkwepu Street in downtown Dar es Salaam.

  The 107-year old Salamander Building, built way back in 1901, was reduced to debris last month after the plot was reportedly acquired by controversial local businessman Yusuf Manji to be developed into a high-rise building.

  ’’Demolition of the Salamander Building amounts to abusing the national antiquities laws which provide for conservation of such buildings,’’ a senior government official who preferred anonymity told THISDAY over the weekend.

  ’’That building was a bank of the country’s history, being the first building to accommodate Tanzania’s first police officer’s mess and also the first building to house the country’s first German pharmaceutical company. But now that history has gone,’’ the official added.

  He fumed that with its history stretching over a century, the Salamander Building should not only have been protected from demolition, but even from being defaced.

  A strong source in the country’s tourism industry noted that tourists visiting the country are ’’not coming to view skyscrapers which they have left back home, but surely they would like to admire Tanzania’s own historical buildings, structures and sites’’.

  The source also pointed out that world capitals like London, New York, Paris, Stockholm and Moscow also have protected historical structures.

  ’’In Washington DC, nobody is allowed to put up a structure which is taller than the Congress,’’ the source pointed out, adding: ’’Does it mean Americans do not have the money to build high-rise buildings in their own capital?’’

  ThisDay
   
 19. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #19
  Dec 18, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Nchi yetu haiwezi kujitangaza kabisa,hata hapo African Night kwenyewe iliyofanyika hapa New Delh last month kenya walijitangaza.tanzania hawakuweka tangazo hata moja.I was so dissapointed hadi nilikosana na afisa mmoja wa ubalzi wetu
   
 20. B

  Babuji Senior Member

  #20
  Dec 18, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wetu wanajituma sana pale kwenye mshiko wa nguvu
   
Loading...