Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...

Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano

1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence

All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishia
1745795454864.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...

Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano

1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence

All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kauli za wakosaji hizo. kikombe kikija watasemaje sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom