Bila ya Rehema yake mwenzenu basi tena

Bila ya Rehema yake mwenzenu basi tena

Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Wewe umelewa dini na mtu akilewa dini uwezo wake wa kufikiri kwa mantiki huondoka.

Jiondoe kwenye huo ulevi Mchumba na mke utapata. Kuna wasio jua maandiko husema Mume /mke mwema hutoka kwa Bwana. Lakini usahihi ni kwamba mke/mume yeyote atoka kwa Bwana. Kilicho muhimu ni wewe kuitumia akili yako ktk kufanya maamuzi.
 
mwanaume lazima ujiamin. kama hujiamini utaishia kula kwa macho.
ukiwa kanisani zingatia ibada na sio kupepesa macho kuangalia wasichana.

Ninajiami sana tena sana ila katika kujiamini iliuonekane unajiamini ni upewe nafasi,usipoipata kujiamini kutabakia tu ndani ya mtu,lakini sijaandikiwa dhambi kwa kumpenda mdada kanisani.kwani ndani ya dhamira yangu sijakusudia baya na Mungu huibariki dhamiri njema, na hata hivyo siku zote sijaendaga kanisani isipokua kufanya ibada tuu,na kwa kua wengu hushauri ukitaka mwezi mzuri uanzie pale unapoabudu basi ndio nami nikachukulia hivyo ndugu.
 
Salamu kwenu wadau,

Nashukuru sana wana jukwaa hili kwa mchango wenu wa mawazo na njia mtaoza anapokwama mtu,hakika huo ndio upendo wakweli.Niliomba hapa ushauri wakati fulani yakuwa niweakati gani ufaao kutokea msichana na kuongea nae kuhusiana namahusiano yapelekeayo ndoa,nilijibiwa nakushauriwa vyema na kuutumia.nikaomba naushauri mwengine labda ningeulizwa nafanya kazi gani,napo nikapewa ushauri wa maana nakuuzingatia yale ya msingi.

Wakati huo kuna wadada kama 3 niliwaonaga Kanisani kwetu nikavutiwa nao lakini jisni ya kuwatokea ndio iliniwia vigumu.kwa bahati nivutiwa na dada 1 anapitaga karibu na kazini kwetu nilichofanya nikaingia kwenye maombi kama siku 3, siku niliokusudia nikamtokea asubuhi nikamsalimia akaitika nikapata moyo kweli yani,nikaomba kuongea nae jion arudipo akakubali jion ikafika akantolea nje akaniambia kesho saivi anawahi.

Kesho ikafika nikamsalimia ile kuniona tuu hakugeuka hata nyuma hakuongea salam kmya daa siku hio niliumia sana lakini nikapata tumaini kwani nilimwambia Mungu kwenye maombi mapenzi yake yatimizwe impendezavyo,nikajua si mapenzi ya Mungu, miezi kama 3 mbeleni nikiwa kanisani akachelewa dada 1 ile anaenda kukaa viti vya mbele sinikamuona nilimpenda lakini nikajizuia misa ikaisha.

Kama kawaida nikaenda kuomba hadi jpil iliofuata sikumuona ye alienda misa ya 2 mi niakaenda ya 1 tukapishana nikendelea kuomba wiki iliofuata nikamwona ibada ilivyotoka nikamfuata japo sina uzoefu sana wa kuongea na wadada lakini nikijikaza nilitembea nae kama km1 nikiomba mawasiliano alivyokaribia kwao akachukua namba yangu,nikasubiria anibeep tu huku naendelea kuomba nakufunga nikubaliwe tu niondokane nahaya mateso.

Wiki 2 hakuna cha kubipiwa wala nn!nikapata wazo ni mundikie barua,niliindika hio barua toka saa 7 usiku mpaka 11 asubuhi nilijieleza kinagaubaga na maangiko mengi tu nilitumia nikamuekea 10000 ndani ya usumbufu jpli ikafika nikampa akapokea, nilifurahi mno nilijiona nimeutua mzigo uliokua umenielemea sana,basi jioni ya ju3 ikaja sms "kama unanipenda twende kwa wazazi wangu".

Nilimshukuru Mungu mno lakini nilipoijibu hakujibu,mpaka alhamisi yake akanisalimia kwa salam ya kanisni kwetu tukaanza kuchati wee ila ni salam salam tuu nikamkumbushia akaniambia ngojea atafakari.nkiwa kimya mpaka jpl akaninisms njoo uichukue barua yako ulio nipa sikuenda nikamwambia aichane tuu lkn akataa nikaja mpigia siku nyingine nilimbembeza hadi mchozi alikataa katakata hawezi kuolewa siivi anawahangaikia wazazi wake na wadogo zake kwanza wasije kufanya kazi kwa watu kama yeye.

Kila nilivyo msihi karibun saa 2 alikataa katakata sms zote nimemtumia hata 1 hakujibu kama kuumia nimeumia kwa kweli sijui ni kwa sababu gani wadada hawanipendi mwaka wa3 sasa toka nilipo achwa sijawaikuambiwa nakupenda wala moyo wangu haujapendwa! Daaaah jamani pesa sina swaga za vijana sinazo jumlishia na upole na ukimya wangu huku kutaka kuoa huku kama si Rehema za Mungu nimesha kwama.

Mungu abarikie jamani kuoa jamani kusikieni tuu.
nitafute nikupe mbinu za kupata mke wiki mbili tu hazichukui utaanza kugawa kadi za harusi
 
Jipende kwanza na think positive kumpata mwenzi wa maisha inakuja automatically ,kuwa mvumilivu na kamwe usikate tamaaa usiwe na pressure sana ya kumpata Huyo mwenzi cos unaweza kufanya maamzi amabayo sio sahihi na ukajuta.
Tulia ,jipende,jikubali,tengeneza marafiki wa kike hasa wengi na baada ya hapo Nani anajua unaweza kupata kati yao.Good luck lakini Wewe ni wa muhimu sana na Mungu amekuandalia kilicho chema tulia na msikilize yeye.Amen
 
duuuuuuh pole endelea kuomba tu utapata,,,mimi mbona naomba nina mwaka wa 3 sasaivi na nina imani ntapata hata kama ni baada ya miaka 10 kwaiyo usikate tamaa muachie Mungu yeye anajua hitaji la moyo wako
 
Daah nimemiss kuandikiwa barua jamani teh. Sipati picha hilo gazeti la kuandikwa Saa 7 hadi 11. Eeeh uliweka na elfu 10 ndani jamani mwe
Mpendwa kwanza nikusifu maana ni wanaume wachache sana wanaoomba kwa ajili ya "wachumba ". Ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba unapenda kweli au na tamaa inakuwepo pia. Unawapendaje mabinti watatu kwa wakati mmoja? Unafanya ana ana do kwamba atakayetick ndo huyo huyo ama? Why unapohisi umevutiwa na binti usiingie kwenye maombi kwanza ili Mungu akuoneshe kama ni mtu sahihi au sio. Kwa sababu hiyo tongoza tongoza itakuharibia sifa. Imagine kanisani mabinti 5 wote wanagundua umewatongoza, watapata picha gani? Upweke wako usikufanye ukawa desperate ndo maana kila binti unamtamani. Tulia, let things happen naturally, usilazimishe kuwa kwenye mahusiano

Asante dada,sijawai kupenda watu wa2 kwa wakati m1 hao 3 ni ndani ya miaka 2 na kila mtu kwa wakati wake na wote sikuwaambia hata m1 isipokua huyu tuu, ila kwenye kutamai sio ni upendo tuu
 
duuuuuuh pole endelea kuomba tu utapata,,,mimi mbona naomba nina mwaka wa 3 sasaivi na nina imani ntapata hata kama ni baada ya miaka 10 kwaiyo usikate tamaa muachie Mungu yeye anajua hitaji la moyo wako

Na Mie Mwenyewe Mwaka Wa Tatu Sasa Na Miezi Kila Siku Naomba Sijakata Tamaa Sana Ila Saa Nyingine Navunjika Moyo Na Kinachoniumiza Sina Dhamiri Mbaya Lakini Mafanikio Hayaji, Ila Wale Wenye Dhamira Mbaya Wanafanikiwa Na Wananicheka Saa! Mungu Tu Anipe Nguvu Nashukuru Sana Sana Kwa Ushauri Ndugu Yangu.
 
Jipende kwanza na think positive kumpata mwenzi wa maisha inakuja automatically ,kuwa mvumilivu na kamwe usikate tamaaa usiwe na pressure sana ya kumpata Huyo mwenzi cos unaweza kufanya maamzi amabayo sio sahihi na ukajuta.
Tulia ,jipende,jikubali,tengeneza marafiki wa kike hasa wengi na baada ya hapo Nani anajua unaweza kupata kati yao.Good luck lakini Wewe ni wa muhimu sana na Mungu amekuandalia kilicho chema tulia na msikilize yeye.Amen

Nashukuru sana rafiki,ni kwa bahati isiokua nzuri sijakulia changanyikeni na mpaka leo hii napenda kukaa peke yangu kwaio kuanzisha urafiki na mtu tena msichana siwezagi labda nilie mpenda kwa hapo nasukumwa na upendo lakini hivi hivi sijawezaga labda njaribu wakati huu,asnte sana kwa ushauri ndugu yangu ubarikiwe
 
Jaribu it really works kwan utakuwa unajua baadhi ya mambo yake though waigizaj wengi ila sip wote gokdluck
 
Ninajiami sana tena sana ila katika kujiamini iliuonekane unajiamini ni upewe nafasi,usipoipata kujiamini kutabakia tu ndani ya mtu,lakini sijaandikiwa dhambi kwa kumpenda mdada kanisani.kwani ndani ya dhamira yangu sijakusudia baya na Mungu huibariki dhamiri njema, na hata hivyo siku zote sijaendaga kanisani isipokua kufanya ibada tuu,na kwa kua wengu hushauri ukitaka mwezi mzuri uanzie pale unapoabudu basi ndio nami nikachukulia hivyo ndugu.
acha kulialia mkuu. komaa upate jiko hata hivyo usiende kichwakichwa utaumia mwenyewe. kama unategemea rehema basi endelea kusubiri
 
Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Wewe umelewa dini na mtu akilewa dini uwezo wake wa kufikiri kwa mantiki huondoka.

Jiondoe kwenye huo ulevi Mchumba na mke utapata. Kuna wasio jua maandiko husema Mume /mke mwema hutoka kwa Bwana. Lakini usahihi ni kwamba mke/mume yeyote atoka kwa Bwana. Kilicho muhimu ni wewe kuitumia akili yako ktk kufanya maamuzi.

Mkuu nimekuelewa vizuri ila ngoja nikuambie wengi wanakosea wapi:

Mtu anamwomba anamwomba Mungu mke/mume mwema kisha anasubiri sijui anafikiri atashushwa kutoka mbinguni?

Kinachotakiwa ni kumwomba Mungu mke/mume mwema lakini pia unapaswa utumie akili yako kutathmini na kumchunguza anayefaa na tena si lazima awe wa kanisani kwako.
 
Ili umpate mke mwema unapaswa kufanya haya:-

-Kumwomba Mungu akupe mke mwema huku ukitumia akili yako pia kumchunguza binti na kuulizia habari za tabia yake na imani yake.

-Kuwa Mvumilivu na Mwaminifu kwasabb ukimwomba Mungu akupe mke mwema wakati wewe hujatulia pia NI VIGUMU kumpata kwani Mungu ni Mwaminifu na anakupa aliyefanana nawewe.
 
You are just desperate and i tell you wont succeed. Ni kosa kwenda kanisani ukiwa unapepesa macho uone msichana wa kuoa maana inaonekana hata ibada hufanyi ila unaenda kuangalia nyago za waschana na kukompea huyu kaolewa au bado. Unajitaabisha kuomba wakati hujui unaomba ili Mungu afanye nini. Mungu ni independent na hasaidiwi kazi. Wakati anampa mke adam hakuna mtu alomsaidia, wakati anampa mke Isaka hakuna mtu alomsaidia. Ukiamua kufata principle za Biblia kutafta mke hakikisha unamlingana Mungu vizuri ili kila hatua utakayofanya ifanyike kwa uongozi wa roho mtakatifu. Waone wazee wa kanisa au mchungaji wakusaidie tatizo lako kama umeshindwa. Ila naamini kama ungejua unachofanya usingefika kote huku tatizo kuna tatizo mahali kwenye kichwa chako upande wa rohoni na mwilini. Asomaye na afahamu.
 
Back
Top Bottom