PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,388
Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya.

Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi.

Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi kimuundo na kioperesheni. Tume isiyopelekeshwa na CCM.

Hapo CCM inawezaje kushinda uchaguzi?
 
Ukiona MTU anakutawala zaidi ya miaka 60 ujue anakuzidi akili .

Hizo security agency is nothing Ila akili tu.

Unafikiri Mange ameingizaje watu barabarani na CHADEMA wakashindwa miaka yote 30

Maana yake akili
 
Kwa hakika jogoo hata wika Dodoma.
 
Ukiona MTU anakutawala zaidi ya miaka 60 ujue anakuzidi akili .

Hizo security agency is nothing Ila akili tu.

Unafikiri Mange ameingizaje watu barabarani na CHADEMA wakashindwa miaka yote 30

Maana yake akili
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Ukiona MTU anakutawala zaidi ya miaka 60 ujue anakuzidi akili .

Hizo security agency is nothing Ila akili tu.

Unafikiri Mange ameingizaje watu barabarani na CHADEMA wakashindwa miaka yote 30

Maana yake akili
Aisee!!
 
Mange Kimambi is talented.
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Hawa NYUMBU wa Chadema huwa nawaambia CCM haipo kwa security agency Ila Akili kubwa

Hata boss wako unayemfanyia Kazi ujue kakuzidi akili ndo maana anakutumikisha simple mathematics
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Huo ndo ukweli
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Unawezaje kutofautisha matumizi ya akili na nguvu?

Akili ikitumika vizuri CCM inadondoka .

Nguvu huwa inatumika Ku-deal na matokeo zaidi na sio kusababisha matokeo .

Kama Alivyofanya Mange kutengeneza Propaganda kuwa Vijana watalindwa na Jeshi na Akaja Tesha.

Na wangekaa vibaya alikuwa anaingia anashawishi Jeshi n.k

So kuiondoa CCM haitaji nguvu Ila akili kubwa .
 
Mange na wengineo ukitia ndani Humphrey Polepole walipotaka kutumia Akili CCM ikatumia nguvu.

CCM mbona inatumia nguvu kila wakati badala ya akili?
 
Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya.

Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi.

Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi kimuundo na kioperesheni. Tume isiyopelekeshwa na CCM.

Hapo CCM inawezaje kushinda uchaguzi?

Hata dola hawaitegemei mkuu, sema bila wizi na uporaji na mauaji sisiemu hawezi kuwa madarakani, coz iliacha kuchaguliwa kitambo sana!
 
Back
Top Bottom