AFRICA101
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 140
- 49
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
Namashaka na unyeti unaouona leo, kumbuka kipindi alichokuja Bush na Obama, huo unyeti ulikuwepo?