Nasikia Jussa anamchana Humphrey ile mbaya.itakuwa ni masuala ya znz tuSasa unataka ujiendee tu bila taarifa?
Kwani huyo Salva Rweyemamu na Michuzi si wanatakiwa waondoke na Mkwele wao? si walipeana kazi kishkaji tu?
Hata ndani ya nyumba yako kama unaishi na familia yako, ndugu au jamaa zako kuna sehemu zingine lazima ubishe hodi kabla hujaingia ndani ya vyumba.
Huu ni utaratibu wa kawaida taasisi mbali mbali achilia mbali Ikulu.
Ikulu siyo bar kwamba unakwenda tu ukijisikia vigezo na masharti kuzingatiwa.ikulu imebinafsishwa kwa magufuli anaanza kuwewesea asubuhi na mapema vyombo vikimsusia kurusha habari zake anadhani TBC itamtosha
Sasa unataka ujiendee tu bila taarifa?
Ametoka damu au kapasuka maeneo gani ya mwili?Nasikia Jussa anamchana Humphrey ile mbaya.itakuwa ni masuala ya znz tu
Hii taarifa kwa kweli haiko sawa..ina maana hata watoto show haziruhusiwi kuonyeshwa?
Nasikia Jussa anamchana Humphrey ile mbaya.itakuwa ni masuala ya znz tu
Sawa tumekuskia ila angalia channel ten hii nchi ina vilaza sana wallah
Sasa unataka ujiendee tu bila taarifa?
Ikulu siyo bar kwamba unakwenda tu ukijisikia vigezo na masharti kuzingatiwa.
Hivi ile email ni GOOGLEMAIL.COM? Anwani ya IKULU?
Kwani huyo Salva Rweyemamu na Michuzi si wanatakiwa waondoke na Mkwele wao? si walipeana kazi kishkaji tu?