Bila ya kibali marufuku "Live coverage" Ikulu

Bila ya kibali marufuku "Live coverage" Ikulu

Status
Not open for further replies.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,526
Mkurugenzi ya habari ya ikulu kianzia leo imepiga marufuku kuchukua live ikulu.
attachment.php


==================================

UPDATES:

Hii habari imekanushwa na Ikulu. "Taarifa hii inayodaiwa Kwamba imetoka Ikulu ni ya uongo. Mnaombwa kuipuuza".
 

Attachments

  • tt.jpg
    tt.jpg
    39.3 KB · Views: 3,890
ikulu imebinafsishwa kwa magufuli anaanza kuwewesea asubuhi na mapema vyombo vikimsusia kurusha habari zake anadhani TBC itamtosha
 
Hivi ile email ni GOOGLEMAIL.COM? Anwani ya IKULU?
 
Sijaelewa hiyo taarifa.live coverage ya wapi? Au mimi ndio sielewi??? Incomplete and an ambiguous statement to say the least
 
hii taarifa imekaaje. Naona kama Magufuli tayari anavamia uwanja. Mpira ni dakika 90 sio tano za mwanzo!
 
Safi sana. Wahariri sasa niwashauri muwe mute. No any coverage. Ninajua Star TV na TBC wanatosha.
 
Sawa tumekuskia ila angalia channel ten hii nchi ina vilaza sana wallah
 
Hiyo taarifa kwa mimi wa huku Namtumbo haisadii, mimi nasubiri utuelezezaji wa ahadi tu.!
 
Walikuwa wanaenda kufanya live coverage kwa kuzamia tu Unadhani wanaenda kilabuni? Hata kwenye michezo live coverage huruhusiwa na sponsor.
 
Jana Itv walikua live wakati magufuli anaingia ikulu baada ya kuapishwa spencer alibidi azuiwe alitaka kuingia hadi maeneo nyeti.nadhani kwa sababu hiyo
 
Kwani huyo Salva Rweyemamu na Michuzi si wanatakiwa waondoke na Mkwele wao? si walipeana kazi kishkaji tu?
 
Wakati wa birthday yake ina maana mawingu fm hawataruhusiwa.
 
Live coverage ya nini? Mechi ya tz vs. algeria nayo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom