Bila ya kibali marufuku "Live coverage" Ikulu

Status
Not open for further replies.
Walikuwa wanaenda kufanya live coverage kwa kuzamia tu Unadhani wanaenda kilabuni? Hata kwenye michezo live coverage huruhusiwa na sponsor.

Walipitaje getini Na mitambo yao? Live coverage ungejua maandalizi yake ungefuta post yako.
 
live coverage zinazozungumziwa hapa ni za ikulu,ambazo si ruhusa kuzifanya isipokua kwa ruhusa maalum

Kwani ziliwahi kufanywa bila bila ruhusa maalumu hizo live coverage
 
Star Tv wanaanza kuula taratibu, mbinde ni kwa ITV!
 
Walipitaje getini Na mitambo yao? Live coverage ungejua maandalizi yake ungefuta post yako.

Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
 
Naunga mkono hojo huwezi kwenda tu bila taarifa yeyote unafanya coverage.kila mahali pana utaratibu hata msalani.
 
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu

Ikulu kwani kuna mabomu ya nuclear?white house kwa obama kwenyewe hadi ndani tunaonyeshwa na ndio ofisi nyeti sembuse hicho kigorofa hapo magogoni?mnajitoa sana ufaham na nyie
 
Sikutazama kipindi cha Jana alichokuwepo polepole ni lini kinarudiwa wakuu
 
Ikulu kwani kuna mabomu ya nuclear?white house kwa obama kwenyewe hadi ndani tunaonyeshwa na ndio ofisi nyeti sembuse hicho kigorofa hapo magogoni?mnajitoa sana ufaham na nyie
Acha kupotosha jamii. Hata kwa Obama huingii ovyo, zaidi ya conference room ambapo Raisi anaonyeshwa akiongea na media, hawaonyeshi mazingira ya white house ovyo. Acheni kupotosha watu.
 
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu

Hiyo dunia imepitwa na wakati. Mi nikitaka kujua ikulu pakoje google earth ipo hakuna cha unyeti wowote ule. Ss hapo watakapopewa ruhusa watakuwa wanaonesha mawingu? Kwa hali ya kawaida hata kuingia ikulu lazma upate ruhusa hata kama unataka kwenda kuomba chumvi.
 
Kwani huyo Salva Rweyemamu na Michuzi si wanatakiwa waondoke na Mkwele wao? si walipeana kazi kishkaji tu?
Baada Mkwele kuondoka sasa tunaandika neno 'Mkwele' kwa raha zetu.
 
Hiyo dunia imepitwa na wakati. Mi nikitaka kujua ikulu pakoje google earth ipo hakuna cha unyeti wowote ule. Ss hapo watakapopewa ruhusa watakuwa wanaonesha mawingu? Kwa hali ya kawaida hata kuingia ikulu lazma upate ruhusa hata kama unataka kwenda kuomba chumvi.
Kama unayo simu yenye uwezo huo hebu jaribu kutafuta hiyo "Google Earth" usearch "Tanzania State house" halafu ulete Feedback
 
Mkurugenzi ya habari ya ikulu kianzia leo imepiga marufuku kuchukua live ikulu.
attachment.php
Kwa uandishi huu, hakyamungu hatusongi! Barua imepindapinda mno! Hiyo email hapo juu ni sawa kweli?
 
Acha kupotosha jamii. Hata kwa Obama huingii ovyo, zaidi ya conference room ambapo Raisi anaonyeshwa akiongea na media, hawaonyeshi mazingira ya white house ovyo. Acheni kupotosha watu.
Unaongelea Ikulu hii ya magogoni ambako CIA wanaijuwa kuliko ikulu yao ya Marekani?
 
Yah, ni lazima nchi ikaendeshwa kwa misingi na taratibu maalum na si kuendekeza ujuaji na kujiamlia hata katika mambo ya msingi, Ikulu ndo nchi yenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom