hakuna upinzani kubanwa wala kubaniwa, ila ni matokeo ya kujitengeneza kuwa vyama vya kifalme( kiongozi/ mwenyekiti wa chama hana mwisho wa kumaliza ) na watanzania hawawezi kukubali ufalme na uchifu urudi Tanzania kwa mfumo wa kisiasa. chama cha siasa tanzania kipo kimoja tu nacho ni CCMBongo bado sana maana wapinzani wamezidi kubanwa kama ruanda
Tafuteni mashirika ya ndani na nje yenye influence na politics za maziwa makuu, tell them what you think Tanzania is ought to be, hakuna sababu ya kujifungia Ufipa na Mtendeni kama watoto yatima, tell the world know what is happening in Tanzania.
Tafuteni mapema misaada kwa vyama na nchi marafiki ili kujiandaa na uchaguzi wa 2020 acheni kutegemea ruzuku, nani akupe ruzuku ili umshinde, mlishaambiwa mapema kuwa serikali haiwezi kuondoka kwa kipande cha karatasi ya kura.
ungejua kuitofautisha CCM na vyama vingine vinavyoweka wafalme madarakani , usingesema haya. kwa yaliyotokea Kongo , huwezi kufananisha na Tanzania na kwa Tanzania CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.
Tofauti ya CCM na hivyo vyama vingine ni kwamba CCM inabadalisha kiongozi , hivyo ni vigumu kwa kiongozi kuchokwa na tunachagua viongozi waliobeba matarajio ya wananchi (mfano ni Rais Magufuli).
wananchi hawabadilishi chama kwa sababu wana mapenzi nacho, wananchi wanachagua chama kilichobeba matarajio yao kiuchumi, kidiplomasia, kimaendeleo na kijamii na kwa CCM ina hazina ya viongozi wenye mtazamo wa kubadilisha nchi na wananchi wake hivyo si rahisi CCM kuchokwa na kupelekea kuchagua upinzani wq matukio
Wananchi wameichoka CCM!ungejua kuitofautisha CCM na vyama vingine vinavyoweka wafalme madarakani , usingesema haya. kwa yaliyotokea Kongo , huwezi kufananisha na Tanzania na kwa Tanzania CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.
Tofauti ya CCM na hivyo vyama vingine ni kwamba CCM inabadalisha kiongozi , hivyo ni vigumu kwa kiongozi kuchokwa na tunachagua viongozi waliobeba matarajio ya wananchi (mfano ni Rais Magufuli).
wananchi hawabadilishi chama kwa sababu wana mapenzi nacho, wananchi wanachagua chama kilichobeba matarajio yao kiuchumi, kidiplomasia, kimaendeleo na kijamii na kwa CCM ina hazina ya viongozi wenye mtazamo wa kubadilisha nchi na wananchi wake hivyo si rahisi CCM kuchokwa na kupelekea kuchagua upinzani wq matukio
Mlishindwa Zanzibar mkatumia mabavu kitengua matokeo ya urais!hakuna upinzani kubanwa wala kubaniwa, ila ni matokeo ya kujitengeneza kuwa vyama vya kifalme( kiongozi/ mwenyekiti wa chama hana mwisho wa kumaliza ) na watanzania hawawezi kukubali ufalme na uchifu urudi Tanzania kwa mfumo wa kisiasa. chama cha siasa tanzania kipo kimoja tu nacho ni CCM
Umeelewa nilichoandika.ungejua kuitofautisha CCM na vyama vingine vinavyoweka wafalme madarakani , usingesema haya. kwa yaliyotokea Kongo , huwezi kufananisha na Tanzania na kwa Tanzania CCM tutaongoza sana mpaka tuseme basi kwa sababu :nia, uwezo na sababu tunazo.
Tofauti ya CCM na hivyo vyama vingine ni kwamba CCM inabadalisha kiongozi , hivyo ni vigumu kwa kiongozi kuchokwa na tunachagua viongozi waliobeba matarajio ya wananchi (mfano ni Rais Magufuli).
wananchi hawabadilishi chama kwa sababu wana mapenzi nacho, wananchi wanachagua chama kilichobeba matarajio yao kiuchumi, kidiplomasia, kimaendeleo na kijamii na kwa CCM ina hazina ya viongozi wenye mtazamo wa kubadilisha nchi na wananchi wake hivyo si rahisi CCM kuchokwa na kupelekea kuchagua upinzani wq matukio
Vyama vya upinzani Tanzania hasa Zanzibar vimekuwa vikishinda chaguzi mbalimbali lkn vimekuwa vikiporwa ushindi kwa sababu havina nguvu yeyote zaidi ya kutegemea sanduku la kura. Sanduku la kura peke yake haliwezi kuwapeleka ikulu.
Ushindi wa uchaguzi hasa kiti cha urais ni zaidi ya siasa, chama cha Mapinduzi hakitegemei siasa kushinda uchaguzi, kina tegemea nguvu ya ziada nje ya siasa, siasa inatumika kama ngazi tu ya kuhalalisha ushindi.
Leo Kongo upinzani umetangazwa washindi sio kwa nguvu zao, Tume ya uchaguzi CENI ilikuwa na uwezo kabisa wa kugeuza matokeo lkn haikuthubutu kutokana na nguvu ya nje hasa Kanisa Katoliki na shinikizo la nchi za Ulaya na Marekani ambayo tayari ilianza kusogeza manowari zake kwenye pwani ya Congo.
Ushindi wa uchaguzi unategemea nguvu ya uchumi, unategemea jumuiya za kijamii, unategemea nchi marafiki, unategemea ushawishi kwenye jumuiya za kimataifa, bila kuwa supported na makundi haya huwezi kuingia ikulu hata kama utashinda kwa 100%.
CCM ina rafiki zake China, FRELIMO, ANC, Swapo, MPLA haiogopi hata kuwakaribisha kwenye kampeni zake, na ndio wanaosaidiana hata mbinu za kuiba matokeo, upinzani unaogopa kuwatambua marafiki zake eti wataambiwa wanashirikiana na mabeberu. Acheni uoga.
Shirikianeni na viongozi wa dini, Makanisa na Misikiti waziwazi msiogope kuambiwa mnaingiza dini kwenye siasa, mbona wao kila sehemu wanaongozana nao. Shirikianeni na vyama vya kijamii kama LHRC, TUKTA, CWT, TLC, NGOs, hamna sababu ya kujifichaficha.
Tafuteni mashirika ya ndani na nje yenye influence na politics za maziwa makuu, tell them what you think Tanzania is ought to be, hakuna sababu ya kujifungia Ufipa na Mtendeni kama watoto yatima, tell the world know what is happening in Tanzania.
Tafuteni mapema misaada kwa vyama na nchi marafiki ili kujiandaa na uchaguzi wa 2020 acheni kutegemea ruzuku, nani akupe ruzuku ili umshinde, mlishaambiwa mapema kuwa serikali haiwezi kuondoka kwa kipande cha karatasi ya kura.
Uoga wenu ndio kushindwa kwenu.
Politics is beyond ballot box.
By, Mwana JF mzoefu Quinine.

Acha kukurupuka, upinzani halisi umepinga matokeo. Kabila kafanya yake na Chisekedi ni mshirika wa kabilaVyama vya upinzani Tanzania hasa Zanzibar vimekuwa vikishinda chaguzi mbalimbali lkn vimekuwa vikiporwa ushindi kwa sababu havina nguvu yeyote zaidi ya kutegemea sanduku la kura. Sanduku la kura peke yake haliwezi kuwapeleka ikulu.
Ushindi wa uchaguzi hasa kiti cha urais ni zaidi ya siasa, chama cha Mapinduzi hakitegemei siasa kushinda uchaguzi, kina tegemea nguvu ya ziada nje ya siasa, siasa inatumika kama ngazi tu ya kuhalalisha ushindi.
Leo Kongo upinzani umetangazwa washindi sio kwa nguvu zao, Tume ya uchaguzi CENI ilikuwa na uwezo kabisa wa kugeuza matokeo lkn haikuthubutu kutokana na nguvu ya nje hasa Kanisa Katoliki na shinikizo la nchi za Ulaya na Marekani ambayo tayari ilianza kusogeza manowari zake kwenye pwani ya Congo.
Ushindi wa uchaguzi unategemea nguvu ya uchumi, unategemea jumuiya za kijamii, unategemea nchi marafiki, unategemea ushawishi kwenye jumuiya za kimataifa, bila kuwa supported na makundi haya huwezi kuingia ikulu hata kama utashinda kwa 100%.
CCM ina rafiki zake China, FRELIMO, ANC, Swapo, MPLA haiogopi hata kuwakaribisha kwenye kampeni zake, na ndio wanaosaidiana hata mbinu za kuiba matokeo, upinzani unaogopa kuwatambua marafiki zake eti wataambiwa wanashirikiana na mabeberu. Acheni uoga.
Shirikianeni na viongozi wa dini, Makanisa na Misikiti waziwazi msiogope kuambiwa mnaingiza dini kwenye siasa, mbona wao kila sehemu wanaongozana nao. Shirikianeni na vyama vya kijamii kama LHRC, TUKTA, CWT, TLC, NGOs, hamna sababu ya kujifichaficha.
Tafuteni mashirika ya ndani na nje yenye influence na politics za maziwa makuu, tell them what you think Tanzania is ought to be, hakuna sababu ya kujifungia Ufipa na Mtendeni kama watoto yatima, tell the world know what is happening in Tanzania.
Tafuteni mapema misaada kwa vyama na nchi marafiki ili kujiandaa na uchaguzi wa 2020 acheni kutegemea ruzuku, nani akupe ruzuku ili umshinde, mlishaambiwa mapema kuwa serikali haiwezi kuondoka kwa kipande cha karatasi ya kura.
Uoga wenu ndio kushindwa kwenu.
Politics is beyond ballot box.
By, Mwana JF mzoefu Quinine.
Ukisoma katikati ya mistari utaelewa nilichomaanisha.Kwa akili yako unaamini kabisa mataifa ya nje yanataka wananchi wa DRC wawe na Rais wanayemtaka? Hivi hujiulizi ni kwanini DRC wanapigana miaka yote na wanapata wapi silaha? Waafrika tutaamka lini?