Wapenzi wa lowassa ndani ya NEC waliamua kuwa chaguo la kikwete (Membe) hawezi penya kwa namna yoyote ile,mpira ukamuangukia JPM!
kwani magufuli aliteuliwa BAADA ya lowasa kuja chadema au kabla?
Sasa hapo upinzani wanahusika vipi?Hapana hila ugomvi wao ndani ya ccm ndio jpm akapata shavu japo hakuwa changuo la wakubwa mwaka huu wataisoma namba
kwani magufuli aliteuliwa BAADA ya lowasa kuja chadema au kabla?
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.
Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.
Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.
Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
Uko sahihi.... Tatizo ni pale wanapotaja UKAWA kuwa ndio waliochangia kuteuliwa kwa Magufuli kana kwamba Lowassa alikuwa Mwakilishi wa Ukawa ndani ya ccm!naona wengne humu hawelew kwann watu wanasema lowassa kamsaidia magufuli kupata urais ni hiv
timu zilikuwa mbili nazo ni membe na lowassa sasa tano bora alivyoingia membe timu lowassa walikuwa ni weng sana wakapiga kula kwa lengo la kumuangusha membe na juhud zikatimia ndio maana watu wanasema lowassa kasaidia