Bila ugawaji wa dawa za ARV huu UKIMWI ungeshaisha miaka mingi sana

Kuhusiana na carrier kwa uelewa wangu sidhan wanaambukiza wengine. Ipo hivi ili HIV(Human imminodefficiency virus) aweze kuzaliana ndan ya mwili wa binadam au in circulatory system ni lazima aingie ndan ya specific white blood cells zinazoitwa CD4 T lympocytes. Na ili aingie ndan ya izo cells ni lazima izo cells ziwe na specific receptors proteins and co receptors ambazo ni CCR5 na CXCR4. ( KWA WANYAMA WOTE AMBAO HAWADHURIKI NA HIV MAANAYAKE HAWANA IZI RECEPTORS AND CO RECEPTORS KWENYE MEMBRANES YA CD4 T lympocytes cells zao). Kwaiyo kwa hawa tunaoita carriers hawana izo receptor proteins kwenye cells zao. Kama hawana receptors maanayake virus hap walioingia kwenye damu yake hawawez kuzaliana. Scientificaly ili mtu aweze kuambuza there must enouph no of virus copies in plasma yake kitu ambacho carrier hana iyo namba. Note HIV anazaliana tu baada ya kuingia ndan ya CD4 T lympocytes white blood cells au kinga ya mwili kwa lugha nyepes. Akiingia ndan ya izo cells hujimultply machinery na kuua izo cells. NB kutengeneza dawa ya kuua HIV virus ni kutengeneza dawa ya kuua binadamu. Japo kuna reserch zinaendelea tangu 2010 kama ckosei kutafuta kinga dhid ya HIV. Pia hakuna virus ambae ana tiba.

Thanks kwa elimu....Kuna Jamaa ni KERIA ,wake zake karibia wanne wamefariki ila yeye anadunda mpaka leo.
 
Kama kusingekuwa na ugawaji wa hizi dawa za kufubaza makali ya virus ni wazi vizazi vya leo vingekuwa vinausoma UKIMWI kwenye maandiko kama vile leo hii tunavyosoma habari za sulua, tauni na magonjwa mengine yaliyobaki kuwa historia kuwa yaliwahi kutokea siku za nyuma.

Wakati umefika sasa waafrika na sisi tuamke na kuwa suluhu kwa matatizo yetu.

Mm naona huyu mzungu anatupoteza kwa maslahi yake binafsi.

HIV ni halisi tujikinge wandugu.
Umesema ukweli sana 110%. Miaka ya themanini na tisini ukimwi ulikuwa unasambaa na madhara yake yakawa yanaonekana wazi kwa kila siku kuwa tunazika waaathirka makaburini Kinondoni. Kulikuwa na baa kwenye container karibu na makaburi yale ikawa inajipatia wanywaji sana baada ya mazishi. Watu walijifunza namna ya kujikika na ngono nzembe zilikuwa zimeanza kujidhibiti na hata usambaaji wa ukimwi ulianza kupungua na kwenye miaka ya 95 safari za Kinondoni Makaburini zilianza kupungua. Hata hivy baada ya ARV kuingia na kuzuia vifo vya ukimwi, ngono zikawa kama zimefunguliwa tena na hivyo kuanzisha usambaaji wa ukimwi ambao hauonekani. Naona kama hilo litakuwa janga kubwa sana kwa kizazi kijacho
 
Hawa ni madogo wa juzi hawaufahamu UKIMWI wanabwatuka tuu sababu kumetulia. Dawa zimeanza 2005 waya umeanza 89 bongo hii, Muongo mmoja watu tunawazika na haukuisha, ungekuwa mhenga ulishuhudua waya wa enzi hakuna dawa huwezi kuleta wazo fyatu kama hili.

Usilete masikhara na UKIMWI bwamdogo.
Mkuu Ukimwi ulianza mwaka 1981 ila ulianza kutesa katikati ya miaka ya 80, mpaka kufikia mwaka 2000 kilio kimesikika karibu nchi zote barani Afrika.
Hali ilikuwa mbaya mno.

Kila familia imeguswa.
Aliyegundua dawa ya kufubaza ukimwi abarikiwe.
Mleta uzi hajui anachosema
 
wakuu narudia tena kama arv zisingekuwepo basi huu ukimwi ungeisha wenyewe.

Kwavipi?

Wale waliokwishaupata wangeenda mbele ya haki ila baada ya apo kungekuwa na tahadhari ya kufa mtu kwa hao ambao wangebaki.

Hivo ndio akili ya binadam ilivyo. akiona hatari mbele yake basi na tahadhari inakuwa kubwa.

Hiyo ingemaanisha maambukizi yangekuwa machache sana au hata yangeisha kabisa.

Leo hii maambukizi bado yapo kwa sababu watu hawamuoni huyo mgonjwa anayeumwa na ndomaana hawauogopi tena ukimwi matokeo yake wanaishia kuupata.
Nahisi wakati ukimwi uko kwenye ubora wake hukuwepo.
Wakati ule baadhi ya watu wakibaini wameambukizwa nao waliendesha mkakati wa kuambukiza.
Na bahati mbaya kila mtu alitamani kufanya ngono.
 
wakuu narudia tena kama arv zisingekuwepo basi huu ukimwi ungeisha wenyewe.

Kwavipi?

Wale waliokwishaupata wangeenda mbele ya haki ila baada ya apo kungekuwa na tahadhari ya kufa mtu kwa hao ambao wangebaki.

Hivo ndio akili ya binadam ilivyo. akiona hatari mbele yake basi na tahadhari inakuwa kubwa.

Hiyo ingemaanisha maambukizi yangekuwa machache sana au hata yangeisha kabisa.

Leo hii maambukizi bado yapo kwa sababu watu hawamuoni huyo mgonjwa anayeumwa na ndomaana hawauogopi tena ukimwi matokeo yake wanaishia kuupata.
Kama hujui, basi fahamu tu, zaidi ya 50% ya watu wameupata Ukimwi pasipo wao kujua chochote, yaani innocently.
Mfano;
Watoto
Wanandoa
Waliobakwa
Wazee waliokuwa wanauguza ndugu zao.
 
Kama hujui, basi fahamu tu, zaidi ya 50% ya watu wameupata Ukimwi pasipo wao kujua chochote, yaani innocently.
Mfano;
Watoto
Wanandoa
Waliobakwa
Wazee waliokuwa wanauguza ndugu zao.
Wew umetoa wapi izo data? Hata ivo iyo sio hoja iliyoletwa apa.
soma vizuri.
 
Upo sawa kwa sababu tungeiogopa ngono zembe sana ila watu wangekufa mno na biashara ya Arv ingepotea.
 
ARVs zimemuepusha mwanadamu na mengi.Nikikumbuka namna wagonjwa wa UKIMWI miaka ya mwishoni mwa 80 na mwanzoni mwa 90 walivyokuwa wanabaki mifupa mitupu,inatisha!Usiombe ukamuona mgonjwa asiyetumia ARVs kwa macho yako.Utalia kwa hofu!
Mwanzoni mwa 90 mbali mkuu miaka ya 2000 mwanzoni hapo bado watu walikuwa wanakufa na kilo mbili..bila shaka alietoa mada ni uzao wa 2000 hajashuhudia kisanga. Anyways anatakiwa kujua kuna carriers so ukimwi usingeisha ungeendelea kumaliza jamii
 
Upo sawa kwa sababu tungeiogopa ngono zembe sana ila watu wangekufa mno na biashara ya Arv ingepotea.
iyo ni kweli

uzuri kwa sasa izo ela wanalipana wenyewe uko yani serikali ya marekani inalipa makampuni ya uzalishaji na usambaji

lakini nazani huo ni mtego tu, hawa hawawezi kulipana milele

wanavuta muda tu ili wahitaji waongezeke wawe wengi

halaf (labda) uko mbele waziachie serikali zetu kulipia gharama halisi

hapo sasa ndo mziki mnene utapoanza

serikali ikishindwa kulipa ndo yale mnaambiwa mje mezani mpewe huduma kwa masharti na vigezo
 
Mwanzoni mwa 90 mbali mkuu miaka ya 2000 mwanzoni hapo bado watu walikuwa wanakufa na kilo mbili..bila shaka alietoa mada ni uzao wa 2000 hajashuhudia kisanga. Anyways anatakiwa kujua kuna carriers so ukimwi usingeisha ungeendelea kumaliza jamii
soma hoja na uielewe

jadili hoja sio kumjadili mleta hoja

karibu
 
Cancer ni tofaut kabisa na HIV brother HIV inaingia ndan ya cell yako na inajiweka katikati ya genetic material yako kitu ambacho cancer ni inatokea tu sehem ya mwil mfano mguuni japo inaeza sambaa ila ukiwai ukakata mguu basi umetoa cancer katika mwil wako pia cancer is nothing but abnormal growth of the cells , yaan cells zinakua bila kua controlled na genetic make up ya mtu husika zinakua ovyo ovyo ad likawa uvimbe mkubwa
Kwanini wagonjwa wa ukimwi wako prone sana kupata cancer kama una uhakika hayahusiani
 
iyo ni kweli

uzuri kwa sasa izo ela wanalipana wenyewe uko yani serikali ya marekani inalipa makampuni ya uzalishaji na usambaji

lakini nazani huo ni mtego tu, hawa hawawezi kulipana milele

wanavuta muda tu ili wahitaji waongezeke wawe wengi

halaf (labda) uko mbele waziachie serikali zetu kulipia gharama halisi

hapo sasa ndo mziki mnene utapoanza

serikali ikishindwa kulipa ndo yale mnaambiwa mje mezani mpewe huduma kwa masharti na vigezo
Arv nadhani hazitolewi bure, kuna vigezo na tukizingua misaada inakatwa. Mambo ya demokrasia, uhuru, ushoga n.k Huko tuendapo Hiv itakuwa na dawa au chanjo.
 
Hiyo ni hospital gani? Ulikuwa mjamzito, kala sio ,hakuna kulazimishwa kupima. Hujui binadamu wewe, adhabu ya kifo ipo ,lakini watu bado wanaua, ahabu kubwa ya dawa za kulevya , lakini watu wanauza na kubeba simbuse huu UKIMWI ambao unaambukizwa kwa njia ya ngono? Wenye nia njema hawakutaka watu wafe kwa maelefu.

Fuatilia magonjwa mengine yalivyoua watu duniani mpaka wakayapatia dawa. Hivi unafikiri kusingekuwa na dawa ya malaria watu wangapi tungekuwa tumeshakufa?
Wewe hujatembea kanda ya iringa na mbeya chunya huko hata ukienda kupima typhoid au malaria bonus ya ukimwi lazima upewe hiyo ilishanikuta nilikuwa chunya kiharakati.
 
Back
Top Bottom