Bila ugawaji wa dawa za ARV huu UKIMWI ungeshaisha miaka mingi sana

Ni kwamba izo dawa zmesaidia sana kupunguza maambukiz na vifo. South africa waliwai gomea izo dawa kilichowapata angalia rate yao ya maambukiz
daah we jamaa ndo popoma kabisa

hivi unajua hali ya maambukizi ya huko sauzi unakosema au unaropoka tu almradi una bando la kuingia humu?
 
Tunge acha natural ichukue mkondo wake ..waathirika wote wangesha kua wame kata kamba
Shida ya vvu ni moja, mpaka dalili zionekana imepita at least miez 6, sasa mtu ndani ya hio miezi sita utakuta ashaambukiza watu 3 ambao nao wameambukiza 10, kama ukimwi ingekuwa ukinasa dalili ndani ya siku moja, hio mbinu ingefaa, ila kwa nature ya ukimwi, hata tungekaa miaka mia bila dawa usingeacha, halaf kwa sababu maambukizi yangekuwa juu, kuambikizana ingekuwa juu, watu viral load zipo juu, ukimkiss tu na wew imo 😂
 
daah we jamaa ndo popoma kabisa

hivi unajua hali ya maambukizi ya huko sauzi unakosema au unaropoka tu almradi una bando la kuingia humu?
Kula chuma hicho, na uache kutukana ovyo
 

Attachments

  • Screenshot_2024-03-09-16-21-44-833-edit_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-03-09-16-21-44-833-edit_com.android.chrome.jpg
    160.1 KB · Views: 3
watu wengi wangekufa na maambukizi yangekuwa juu kwa maana kwamba hao waliokufa tayari kuna ambao wamewaambukiza wakati wako hai wakinyanduliwa/wakinyandua. Na hao wanyanduaji/wanyanduliwa walio hai wangeendelea kupeleka moto kwa wengine na kufanya maambukizi yawe juu. Vijiweni wanasema hao wanaokunywa ARV virusi vyao vimefubaa hata ukiuza mechi unaweza ukatoka salama, virusi viko dormant haviko active kama vya mwanzo wakati hakuna ARV
Samahani, Mtu aliyechakazwa na VVU anapata wapi nguvu ya kusambaza ilihali amedhoofu kimwili?
 
Hiyo ni hospital gani? Ulikuwa mjamzito, kala sio ,hakuna kulazimishwa kupima. Hujui binadamu wewe, adhabu ya kifo ipo ,lakini watu bado wanaua, ahabu kubwa ya dawa za kulevya , lakini watu wanauza na kubeba simbuse huu UKIMWI ambao unaambukizwa kwa njia ya ngono? Wenye nia njema hawakutaka watu wafe kwa maelefu.

Fuatilia magonjwa mengine yalivyoua watu duniani mpaka wakayapatia dawa. Hivi unafikiri kusingekuwa na dawa ya malaria watu wangapi tungekuwa tumeshakufa?
 
BICHWA KOMWE - nasaa Zako zinahitajika hapa
😂😂😂😂😂😂

Information is power.

Ukiwa mjinga unakuwa kama gunia tu. Utashindiliwa ARV, utashindiliwa machanjo, utashindiliwa mionzi, utashindiliwa madonge, huku watu weñgine wakiendelea kuneemeka na kukutawala kikamilifu.

Unakuwa kama fuko la makemikali. Unajazwa pomoni. Kitu FULUU 😉😉
 
wakuu narudia tena kama arv zisingekuwepo basi huu ukimwi ungeisha wenyewe.

Kwavipi?

Wale waliokwishaupata wangeenda mbele ya haki ila baada ya apo kungekuwa na tahadhari ya kufa mtu kwa hao ambao wangebaki.

Hivo ndio akili ya binadam ilivyo. akiona hatari mbele yake basi na tahadhari inakuwa kubwa.

Hiyo ingemaanisha maambukizi yangekuwa machache sana au hata yangeisha kabisa.

Leo hii maambukizi bado yapo kwa sababu watu hawamuoni huyo mgonjwa anayeumwa na ndomaana hawauogopi tena ukimwi matokeo yake wanaishia kuupata.
Unasema "... hao ambao wangebaki."

Sidhani kama una uhakika wa nani hasa wangebaki wakati familia nyingi, watoto kwa wakubwa, walikuwa wanateketea kwa kasi. Leo hii wenye UKIMWI wanazaa na mtoto anakua.
 
Sawa yupo ila unajua kaambukiza wangapi??
tatizo la humu watu wanajiangalia wao binafsi. mtu anafikiria hee yani mimi nitakufa au flan naemfahamu atakufa.

Wao hawaangalii hatima ya taifa. Wanaombukizwa saivi ni madogo wa miaka 15 hadi 25 apo ambao hawajui chochote.

Wanasahau binadam hataishi milele na ukiishi zaidi ya miaka 70 tu apo ni shida tupu zinaanza.
 
Unasema "... hao ambao wangebaki."

Sidhani kama una uhakika wa nani hasa wangebaki wakati familia nyingi, watoto kwa wakubwa, walikuwa wanateketea kwa kasi. Leo hii wenye UKIMWI wanazaa na mtoto anakua.
Usiishie tu kusema unazaa.

Useme pia umeambukiza watu wengine wangapi?
 
Back
Top Bottom