Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,135
- 48,363
Mashindano ya usomaji Quran mwaka huu yamepewa kauli mbiu "bila ya Quran hakuna amani"
Mimi sijaelewa inamaanisha nini.
Mimi sijaelewa inamaanisha nini.
Sawa!Ipotezee tu
Hao watakuchanganya tu TEAM KIZIMKAZI hao masheikh mchele mchele.Sawa!
Wassira tena😀😆😃Itakuwa wameandikiwa na Wasira hiyo.
Hawahitambui hao, Kuna nchi nyingi sehemu nyingi hakuna Quran lakini Kuna amani kuliko huku kwenye QuranMashindano ya usomaji Quran mwaka huu yamepewa kauli mbiu "bila ya Quran hakuna amani"
Mimi sijaelewa Inaaanisha nini.
Bongo Kila jambo linasiasishwa!Hawahitambui hao, Kuna nchi nyingi sehemu nyingi hakuna Quran lakini Kuna amani kuliko huku kwenye Quran
China sehemu kubwa ni kama hakuna Quran lakini Kuna amani
Japan pia hakuna Quran, lakini Kuna amani
Hawa masheikh ni mabumunda
Nashukuru sana nilikuwa sijaona hiki kituko cha Bila Quran hakuna amaniShekh njoo uone maajabu ya mwaka hamis77
Blender wewe ndiye uliyemualika hamis77Nashukuru sana nilikuwa sijaona hiki kituko cha Bila Quran hakuna amani
Wakati Quran ndio Chanzo cha mifarakano duniani
Magaidi wote duniani Wana kauli mbiu zao za kuua wakristo na wayahudi kwa kutumia Quran
ilitakiwa waje na kauli mbiu
BILA QURAN ,AMANI ITASTAWI