Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,541
- 44,295
Anapata Tsh. 9Single digit ndio umeniacha hapo
Anapata Tsh. 9Single digit ndio umeniacha hapo
😂😂😂😂Kwanza mtu anae tegemea hizi ajira za serikali na za wabongo tayari kwa 50% ni masikini wa akili, wengi wanajipa matumaini ya kupiga pesa za Rushwa perdium na ubadlifu au wizi, Jomba huwezi kutoboa na pesa ya rushwa au perdium labda uwe mkurungezi wa wizara au katibu mkuu, eti mualimu nesi famasia, police, mtendaji wa mtaa, teller nk. utakufa masikini subiri ufikishe umri wa kustaafu ndo utajua kwamba ulichezea mda wako.
😂😂😂😂Unazungumzia maofisa au hawa tulio nao mtaani wanaozunguka na pikipiki na magari yenye namba zisizoeleweka?
Mbavu zangu mie, 😂😂😂Ni umasikini mkuu tu kweli wewe ulipwe 450k kwa maisha ya Dar es salaam una familia unapanga unaishi je, kama sio umasikini wengine tungekua na wazazi wenye uwezo bora urudishe majeshi kwa wazazi yuishi kama hao waarabu koko wa kariakoo baba mama shangazi watoto mke wote sehemu moja
😅😅Kinachouma zaidi kuna watu huo mshahara wako ni per diem ya siku mbili tu aisee haki iko wapi?
Ila watu, 😂😂😂Anzisha Biashara ukiwa humo humo kwenye ajira hadi hiyo biashara ianze kukupa return mara 5 au zaidi ya unachopata kwenye ajira usithubutu kuacha kazi akakimbilia kujiajiri.
Kujiajiri hakutaki watu legelege utaishia kuongea mwenyewe barabarani.
Hata ukiona mtu anachoma mahindi barabarani ujue yupo smart masna siikila mtu anaweza kufanya hivyo
Mbona hesabu zinagoma kabisaa hapa, kuna dharura za magonjwa, vifo, etc.Tuseme unalipwa 800k kila mwezi.
Kodi 100k kwa mwezi
Kula 300k kwa mwezi
Nauli 100k kwa mwezi
Jumla 500k kwa mwezi kwa matumizi binafsi
Imebaki 300k, hii unaweza kuiwekea bajeti ya mambo ingine kama akiba, mavazi, uwekezaji, kujiendeleza kielimu, nk.
Hii pesa ukitulia kwenye ajira kwa miaka 10 una uwezo wa kuestablish financial stability kubwa sana.
Epuka matumizi yasiyokuwa ya lazima.
1. Starehe
2. Kuhonga ndugu, jamaa, na marafiki
3. Kama unataka kuanzisha familia hakikisha unaeanzisha nae familia ana uwezo wa kujitegemea kiuchumi.
4. Epuka kuzaa bila malengo.
Mshahara wa mtu mwenye diploma au degree aliyeajiriwa serikalini unatosha sana kuanzia maisha na Kutengeneza financial stability.
Nini maana ya mafanikio Kwanza?Siku baada ya siku sioni dalili ya kutoboa kupitia haya maisha ya kuajiriwa mambo yanazidi kuwa tough familia inaanza kukua kwa mshahara huu wa single digit sina hakika kama kuna kutoboa bila kuchukua action sasa
Kinachouma zaidi kuna watu huo mshahara wako ni per diem ya siku mbili tu aisee haki iko wapi? Kusema ukweli huku kuajiriwa ni hatari sana sijasema kuajiriwa ni kubaya ila shida je unalipwa kiasi gani? Yaani kuna sehemu ukiajiriwa au kuna halmashauri ukiajiriwa unajichimbia kaburi tu kutoboa hapo sahau kabisa aisee bila maamuzi magumu kutoboa nitakusikia tu kwenye bomba yaani huku Afya mnafanya kazi kubwa ila Mshahara wenyewe kuduchuu yaani unakuta hamna semina, hamna extra duty wala pesa nje ya mshahara wewe ni kutegemea mshahara tu full stop hii haikubaliki kabisa
Jwtz wana hela kuanzia cheo cha luten usuKwanza mtu anae tegemea hizi ajira za serikali na za wabongo tayari kwa 50% ni masikini wa akili, wengi wanajipa matumaini ya kupiga pesa za Rushwa perdium na ubadlifu au wizi, Jomba huwezi kutoboa na pesa ya rushwa au perdium labda uwe mkurungezi wa wizara au katibu mkuu, eti mualimu nesi famasia, police, mtendaji wa mtaa, teller nk. utakufa masikini subiri ufikishe umri wa kustaafu ndo utajua kwamba ulichezea mda wako.
😂😂Pole sana kwa yaliyokukuta,ila usikate tamaa, kopa angalau milioni kumi tu anza biashara ya vifaa vya electronic na simu ndani ya miaka miwili utakuwa na kama milioni 30 hivi wekeza wekeza kisha acha kazi usimamie biashara yako. Utakuja unishukuru baadae.
Hata kujiajiri haikuhakikishii kufanikiwa kimaisha. Hii nchi aslimia kubwa ya watu ni masikini au wanaishi maisha ya kawaida ya kupata basic needs.Pesa ipo kwenye kujiajiri Tu asikudanganye mtu , kama umeajiriwa ni Bora uweke interval ya kukusanya mtaji let say miaka miwili au mitatu then Acha kazi nenda kajiajiri, angalizo ni kwamba usije ukakimbilia kujiajiri Tu kisa umeona mtu au Kwa tamaa Tu ya kutaka pesa haraka haraka bila kujipanga.
Kumbuka kwenye kujiajiri itachukua muda zaidi kujipata pengine zaidi ya ulivyotarajia lakini ukikomaa unatoboa ukiwa kijana mdogo kabisa Hadi unajilaumu kuwa siku zote ulikuwa wapi, pia kumbuka zaidi ya asilimia tisini ya waliojiajiri biashara zao hufa Kati ya mwaka mmoja Hadi mitatu, unapochukua maamuzi ya kujiajiri Ingia jumla jumla Kwa miguu yote kinyume na hapo hutoboi may be Kwa kazi zisizohitaji uwepo wako sana tena may be.
Asilimia kubwa au tuseme 97% ya waajiriwa TZ watakufa maskini, mishahara inayolipwa ni kama ya vibarua, ni watu wachache Sana wanaokula maisha...
Cha msingi usikimbilie kuacha kazi ghafla, lazima ujipange Kwanza, ujipange kimtaji (X2), ujipange kiroho na kimwili, ujipange kimaarifa....ukishajipanga sasa unachomoka bila kuangalia nyuma....
No risk no rewards, No discipline no results...kama ikikufaa zaidi tumia filosofi ya kijapani inaitwa IKIGAI (nenda Google au youtube ukaitafute).
NB: Usiombe ushauri wa kujiajiri Kwa mtu ambaye hajawahi kujiajiri...zingatia Sana Hili.
Wewe wafanyakazi wako unawalipa sh ngapi?Ni umasikini mkuu tu kweli wewe ulipwe 450k kwa maisha ya Dar es salaam una familia unapanga unaishi je, kama sio umasikini wengine tungekua na wazazi wenye uwezo bora urudishe majeshi kwa wazazi yuishi kama hao waarabu koko wa kariakoo baba mama shangazi watoto mke wote sehemu moja
😄😄😄 Eti huna kipaji chochote Wala bahatiWatu wanatajirika kwa kuendeleza walipoacha wazazi wao, wewe umezaliwa Juzi tu unataka utoboe ndani ya miaka 3.
Baba na Babu yako hawajaacha kitu. Huna kipaji chochote wala bahati.