Naomba msaada na maelekezo

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
389
225
Wapendwa naomba msaada, shida yangu ni kwamba mimi ni karani wa Kanisa na nina majina na namba za washiriki zaidi ya 700 na ninahitaji kupata app ambayo nitaitumia nikihitaji jina la mtu na type na jina lake linakuja likiwa limesheheni wasifu wake kwa ujumla, mtu mmoja aliniambia kuwa access inaweza hiyo kitu lkn bahati mbaya sijui kuitumia ingawa naweza kutumia excell, powerpoint, word na nyingine chache. Kama ikiwezekana nitumie smart phone au laptop, natanguliza shukrani.

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,034
2,000
Kwa simu yako download app inaitwa memento database ipo store.

Tumia template ya contacts, then add information za watu wako.
 
teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
389
225
Nashukuru sana, je kwenye computer nitumie app gani?

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
389
225
Kwa simu yako download app inaitwa memento database ipo store.

Tumia template ya contacts, then add information za watu wako.
Nashukuru nimeiona lkn pia kama kuna app nyingine zaidi ya hii ni vzr nikaipata na tena ni app gani nitumie kwenye pc?

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,034
2,000
Nashukuru nimeiona lkn pia kama kuna app nyingine zaidi ya hii ni vzr nikaipata na tena ni app gani nitumie kwenye pc?

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Mkuu kama ni watu tu hata contacts kwenye simu unaweza tumia na kujaza details zote na kwa pc pia unaweza tumia contacts na outlook ama google.

Pia unaweza tafuta software yoyote ya crm inafaa mfano hubspot crm ipo kwenye simu ama pc kote kote.
 
teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
389
225
Mkuu kama ni watu tu hata contacts kwenye simu unaweza tumia na kujaza details zote na kwa pc pia unaweza tumia contacts na outlook ama google.

Pia unaweza tafuta software yoyote ya crm inafaa mfano hubspot crm ipo kwenye simu ama pc kote kote.
Hiyo hubspot crm ndo iko wapi ndg kwenye simu?

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
389
225
Naomba maelekezo ta kina sana pole kwa usumbufu

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom