Bila kujali itikadi za Vyama:, Tutaje wabunge bora zaidi mwaka 2010-2014(Top Ten MPs 2014-2014)

J J Mnyika....hasa pale Bunge linapokaa kama Kamati, kama sio Kubanwa na Spika anayetetea mawaziri basi hali ya mawaziri ingekua tete.

Na ndio mbunge anayeongoza kwa kuchangia Mara tu bunge likaapo kama kamati. Asipokuwepo Mnyika vifungu vyote hupita kwa ndiooooo.....mawaziri wengi wanamuogopa Mnyika.
 
Edward Ngoyai Lowasa kwa kweli tulikula sana krisimasi cha mwaka jana tunategemea na mwaka huu tenaaaaa
 
Back
Top Bottom