Bila kujali itikadi za Vyama:, Tutaje wabunge bora zaidi mwaka 2010-2014(Top Ten MPs 2014-2014)

john komba, steven wasira, mwigulu chemba

Nafikiri hapa ni oposite kwa uliowataja. Wao kila wanachofanya ni ushabiki wa chama. Pesa zinachotwa BOT wao wala haiwahusu. To me hawa ni best poor performing MP 2014.

Kangi Logola na Mnyika ni kiboko, na mwaka jana alikuwa Deo Fulikunjombe ila kwa sasa naona ameshamezwa...
 
J J Mnyika....hasa pale Bunge linapokaa kama Kamati, kama sio Kubanwa na Spika anayetetea mawaziri basi hali ya mawaziri ingekua tete.
 
Nafikiri hapa ni oposite kwa uliowataja. Wao kila wanachofanya ni ushabiki wa chama. Pesa zinachotwa BOT wao wala haiwahusu. To me hawa ni best poor performing MP 2014.

Kangi Logola na Mnyika ni kiboko, na mwaka jana alikuwa Deo Fulikunjombe ila kwa sasa naona ameshamezwa...

Watanzania kama tumelogwa vile mtu analeta mada ya maana mnaleta utani hâta nyie graet thinkers mkienda bungeni ni zéro hivi kweli unaweza sema komba ni miongoni mwa wabunge bora hebu acheni uchizi jitu linalala bungeni muda wote na likiongea ni mavi matupu mnalisifia
 
#1 ) Zitto Kabwe
#2 ) Mohammed Dewji
#3 ) John Mnyika
#4 ) January Makamba
#5 ) James Mbatia
#6 ) Anne Kilango Malecela
#7 ) Edward Lowassa
#8 ) David Kafulila
#9 ) Halima Mdee
#1 0) Kangi Lugola
 
#1 ) Zitto Kabwe
#2 ) Mohammed Dewji
#3 ) John Mnyika
#4 ) January Makamba
#5 ) James Mbatia
#6 ) Anne Kilango Malecela
#7 ) Edward Lowassa
#8 ) David Kafulila
#9 ) Halima Mdee
#1 0) Kangi Lugola

Mkuu ww ndo umejibu swali, kuna watu hum cjui hata kama darasa la 7 alimaliza, maana alicho ulizwa na majibu yake c kwamba havifanani ila hata haviendani,

Hao ndo wanao andika matusi na bongo fleva kwenye karatasi ya majibu...
 
Tatizo mkuu tuna kazi kubwa sana katika nchi yetu.
 
Back
Top Bottom