Bila kujali itikadi za Vyama:, Tutaje wabunge bora zaidi mwaka 2010-2014(Top Ten MPs 2014-2014)

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
894
195
Kwa kutumia hadhi yetu ya GREAT THINKERS na bila kujali vyama vyetu ama upendo wako kwa mbunge fulani, tushiriki kwa pamoja kuwataja wabunge bora zaidi waliofanya vizuri sana ktk majimbo yao na wametumia nafasi zao kufanya mazuri zaidi kitaifa, asanteni, TAIFA KWANZA VYAMA BAADAYE, cc Faizfoxy, Mwanadiwani, Ben Saanane, Pascal, Heaven on Earth, Ritz, Crashwise, Ngo007, na wenine wote
 

deonova

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
742
500
Mimi nitamtaja kwa ustadi wake wa kujenga hoja na kutetea maslahi ta watz, sijui jimboni kwake amepaendelezaje....Alphaxad Kangi Lugola yuko vizuri sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Ndeke afwege

Senior Member
May 20, 2014
154
0
Tundu Lissu, namkubali hoja zake ambazo lazima awe na reference! Ili kuweka balance, pia watajwe top ten Wabunge Wabovu zaidi.

top ten vilaza: Joseph mbilinyi, john komba, mwigulu, lema, Ana makinda huyu ndio kalaza zero kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom