Bila kuhonga sipewi, sijui ni mkosi

Bila kuhonga sipewi, sijui ni mkosi

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,485
Kila niyemtongoza na kuanzisha naye uhusiano lazima kias cha pesa kinitoke ili niweze kufaidi tunda la katikati.
Licha ya mara zote kuwaeleza kuwa nawependa kwa dhati na sina pesa lakini linapokuja swala la kuwaomba wanipe pale kati patamu lazima nigharimie kwa kweli naombeni mbinu mbadala
 
toa pesa kijana. cha bure mjini salaam tuu.
 
1469554827950.jpg
 
listen NAY WA MITEGO - PALE KATI PATAMU yeye ana kitumbua mie nina mua
 
Na wewe kuwa mjanja tafuta mwanamke mwenye pesa akuonge,vijana wenzio wajanja siku hzi hawapendi kuombwa hela wanataka wamama wenye pesa
 
Na wewe kuwa mjanja tafuta mwanamke mwenye pesa akuonge,vijana wenzio wajanja siku hzi hawapendi kuombwa hela wanataka wamama wenye pesa
Huo sio ujanja bwana, unakaa na mtu amekuzidi 15years, wakati anakua Michael Jackson na Lieon Ritchie ndio wako kwenye hit wewe unakua ni Rihanna, Chriss Brown, Diamon. Hakuna kitu kizuri kama kutoka na mtu ambae mnashare things in common.
 
Mkuu hata akiwa mkeo lazma ukamuliwe tu sentii ila ipo indirect
 
Toa tu maana hamna namna. Siku ukimpata anaekupenda kweli,utajua tu hata kwa viashiria vingine.
 
Kila niyemtongoza na kuanzisha naye uhusiano lazima kias cha pesa kinitoke ili niweze kufaidi tunda la katikati.
Licha ya mara zote kuwaeleza kuwa nawependa kwa dhati na sina pesa lakini linapokuja swala la kuwaomba wanipe pale kati patamu lazima nigharimie kwa kweli naombeni mbinu mbadala
Kwenye mapenzi pesa ina nafasi yake, ila kwa jinsi ulivyoeleza kuna walakini....kuwa makini siku hizi kuna public na domestic prostitutes.
 
Back
Top Bottom