bila kufanya haya ndoa utaisikia chereko tbc

bila kufanya haya ndoa utaisikia chereko tbc

we dictate the terms au sio bwana. wakikataa basi tunaendelea kuwagegeda tuu
 
na baada ya kukuzalia mtoto na kuishi na mwaka mmoja ukifunga ndoa tu vitimbi vinaanza.... manamke akihitaji jambo atafanya awezalo kulipata but when akilipata utamsikia bombani tu...... omba upate utakeye elewana nae la sivyo utajuta maisha yako yote

sijakataa,ila ivyo viwili ndio vigezo vya msingi...mbona hamtaki sasa?
 
we dictate the terms au sio bwana. wakikataa basi tunaendelea kuwagegeda tuu

najua hakuna mwanamke atakaetetea hili...apo juu wanasema ooh tafuta mcha mungu,ooh sali sana...sijakataa;nachoongelea apo ni ayo mambo mawili wasijifanye kuniongezea vigezo....tujadili mtoto na kuish pamoja
 
na baada ya kukuzalia mtoto na kuishi na mwaka mmoja ukifunga ndoa tu vitimbi vinaanza.... manamke akihitaji jambo atafanya awezalo kulipata but when akilipata utamsikia bombani tu...... omba upate utakeye elewana nae la sivyo utajuta maisha yako yote

ayo ni matokeo...c bora kuliko kubeba limke halijui kuoga,kuvaa,kupika,kusali,kutandika,kushea,lichoyo,livivu...
 
leo ndio leo.

ni ndoa na ndoano zake tu......ukiipenda utaichukua!!

1.Lazima UNIZALIE MTOTO.PERIOD

2.Lazima niishi na wewe mwanamke japo mwaka mmoja nikujue vitu fulani fulani.

3.sasa baada ya kufuzu apo juu twende kwa baba paroko.

hutaki chapa lapa

We endelea kuchepuka tu!
 
ndio habari ya mujini.tumechokaaa

Hiyo itakuwa habari ya nyumbami kwenu labda sio habari ya mujini hahaha. Mmechoka wewe na nani? Na mmechoka nini labda?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Husomeki mara mcha Mungu...mara mzae..sa mcha Mungu gani huyo anayezini mbona unajicontradict mwenyewe?
 
leo ndio leo.

ni ndoa na ndoano zake tu......ukiipenda utaichukua!!

1.Lazima UNIZALIE MTOTO.PERIOD

2.Lazima niishi na wewe mwanamke japo mwaka mmoja nikujue vitu fulani fulani.

3.sasa baada ya kufuzu apo juu twende kwa baba paroko.

hutaki chapa lapa
Hivi ndoa ni kwa wanawake tu????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom