Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Siyo kweli. Kanda ya Ziwa ina 29% ya watanzania wote.Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.
NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
Tumeletewa wa kwetu kwann tusichague Chama Makini?KandaYaZiwa nawaomba msiwachague hao CCM
Chama gan makini !? CCM au.Tumeletewa wa kwetu kwann tusichague Chama Makini?
Ongezea Tabora na Katavi mzeeSiyo kweli. Kanda ya Ziwa ina 29% ya watanzania wote.
Kanda ya Ziwa ina mikoa 6: Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Simiyu na Shinyanga.
Tabora na Katavi tangu lin ikawa lakeZone ww😅 hii nchi watu hata hamjui kbs daah!!Ongezea Tabora na Katavi mzee
Ndio maana akina Lissu na kampani yake walirandaranda kule karibu mwezi mzima😁Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Ongezea Tabora na Katavi mzee
Nikuulize ukitoa Jimboni kwake huyo Biteko ana inflyance gani? Hizi ni siasa za Kenya Tanzania haziko applicable.Waziri Mkuu Majariwa una influence jimboni kwake tu?Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Siasa Za Kenya Tanzania haziko applicable.Hivi Unajua Hara Magu jimboni kwake tu alikuwa hakubaliki? Na Magufuri alikuwa hawezi ku comand kanda ya ziwa yote,Pamoja na umarufu wake ule.Siyo kweli. Kanda ya Ziwa ina 29% ya watanzania wote.
Kanda ya Ziwa ina mikoa 6: Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Simiyu na Shinyanga.
Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.
NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
akili zao zinafanaTabora na Katavi hazipo Kanda ya Ziwa.