Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
Radio one kulikua na kipindi kinaitwa DJ SHOW chini ya Mike MuhagamaMi nilianza kusikia ngoma kali radio one za wakina dully sykes kipindi wanatoka sio clouds aache uongo ila aseme clouds ina mchango wake kwa wasanii
Jamaa muongo sana huyo bongo fleva redio one waliicheza sana clouds ni mtoto mno.Radio one kulikua na kipindi kinaitwa DJ SHOW chini ya Mike Muhagama
Jamaa alikua anapiga sana ngoma za kibongo na nadhani ndo muasisi wa neno BONGO FLAVOUR
Hapo Clouds hata mimba yake ilikua haijatungwa
ni kweli ila nyakati zinabadilika ndio maana hata kule kwenye siasa bila chama fulani hivi basi vingine tusingesikia na huku mpirani ndio sisemiBILA CLOUDS HAKUNA STAR YEYOTE ANGETOKA.
.
@josephkusaga anaeleza kwamba nchi hii iliweka ugumu sana kupokea muziki wa kizazi kipya. Anasema baada ya kuona muziki wa vijana unakataliwa kwenye redio ndio wakaanzisha Clous Fm, Redio iliyotoa nafasi ya muziki kusikika na hapo ndipo 'mastar' walizaliwa.
Kwa msisitizo Joseph alisema " Utake usitake bila Clouds HAKUNA STAR YEYOTE ANGETOKA, hata watukane waseme nini... ila bila Clouds wasingekuwa walipokuwa"
.
.
#Clouds19
Unaikumbuka Deiwaka ya Redio Uhuru?Mi nilianza kusikia ngoma kali radio one za wakina dully sykes kipindi wanatoka sio clouds aache uongo ila aseme clouds ina mchango wake kwa wasanii
Kweli aiseehMi nilianza kusikia ngoma kali radio one za wakina dully sykes kipindi wanatoka sio clouds aache uongo ila aseme clouds ina mchango wake kwa wasanii