Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 282
Kweli mkuuMaisha lazima yaendelee
Kutengeneza ya kushape na kuaminisha watu wake kuwa wanaweza..Media gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.
Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
Wee bahariaaaa12 kabugi sana,asa hivi yuko kule ni singeli kwa kwenda mbele...dah 😂😂😂🤣🤣 e- fm bhaannaa miyeyusho kishenzi yan
Anaendesha kipindi gani kule12 kabugi sana,asa hivi yuko kule ni singeli kwa kwenda mbele...dah 😂😂😂🤣🤣 e- fm bhaannaa miyeyusho kishenzi yan
wasafi jonijo kaondoka na bartender imekufaMedia gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.
Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
Wekaa..weka tena...wekaa😂😂😂😁Wee bahariaaaa
Haijafa ila hawajaweka mtangazaji mwinginewasafi jonijo kaondoka na bartender imekufa
ndo kufa huko, wangekuwa wanazalisha watangazaj tofauti wasingepoa kwa muda mrefu hiviHaijafa ila hawajaweka mtangazaji mwingine
Hata alivyokuwa jonijo Kuna kipindi kilisimama mwaka mzima kwa lengo la kuja msimu mwingine nafikiri ndio wanachofanya sasando kufa huko, wangekuwa wanazalisha watangazaj tofauti wasingepoa kwa muda mrefu hivi
sawa mkuuHata alivyokuwa jonijo Kuna kipindi kilisimama mwaka mzima kwa lengo la kuja msimu mwingine nafikiri ndio wanachofanya sasa
Kwa asilimia 45 ya watangazaji wanatoka East Africa Radio, Kennedy, Bantu, Mamy, Sinyorita etcMedia gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.
Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
Walikoseaga sana kumweka na Millard Ayo..wakakosea tena kwenye hot 3,saivi wame get it right atleastNadhani Clouds wanasoma maoni ya wadau..kumtoa meena ally kwenye Hot 3 wamefanya jambo la maana sana na kumrudisha mamy..Adam ana combination nzuri sana na yule binti mamy..kale ka meena ni kapiga kelele tu hamna kitu
Waambie Ukweli mkuu,safi sanaMedia gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.
Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
Sio imekufa tu,wameamua hivyo waowasafi jonijo kaondoka na bartender imekufa