Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Bikira zipo, wapo wanawake wamejifunza vizuri tu na wamesoma binafsi mke wangu nimemkuta na bikira na ni digrii holder so bikira zipo, kama hauna sawa ila sababu za chemistry siziwepo
Kuna binti wa ndugu yangu mwenye msimamo, yupo 34 na bado Bikra. Ana Masters ni Engineer na kikazi yupo shirika la umma na ni Permanent and pensionable. Anashindwa kupata mwanaume wa kumuoa kwa vile kila akipata mtu anakimbilia kumuonja. Hapo mnakosana. Bikra zipo
 
Zipo bwana kuna binti alikuwa na miaka 29 mwaka juzi ni bikra kabisa akiwa na mwanaume akigusia tu mambo ya kutaka kuonja mahusiano yanaishia hapo hapo
 
Mtoa mada umesema kweli kabisa, pia mtu anaweza kuwa bikra ila ana tabia zingine ambazo hazivumiliki, ukishamuoa ukamtoa bikra ndio unaanza kujiuliza jamani nini hiki?
Kitu pekee ambacho naweza kusema ni kizuri kwa mtu ambaye bado ni bikra ni kuwa ni dalili ya nidhamu hasa kwa umri ambao tunategemea kuwa kila mtu ameanza ngono, inaonyesha wazi ni mtu anayeweza kujizuia kama akiamua
 
Zipo bwana kuna binti alikuwa na miaka 29 mwaka juzi ni bikra kabisa akiwa na mwanaume akigusia tu mambo ya kutaka kuonja mahusiano yanaishia hapo hapo
Kama mwanaume hayupo serious mahusiano yanakufa. Maana si rahisi kumdanganya Bikra aliyepevuka
 
Hili nalo neno....

Anyways imani za watu ni kwamba watakuwa na amani wakijua mwanamke wao hamjui mwanaume mwingine, hakuna cha kufananisha nacho. Sasa mzee unaona pisi, maumbile + stamina za ex wake huna.... kuna uwezekano mkubwa utalizwa
 

Wanaume wengi wanajali zaidi kwa mwanamke mutual connection, shared interest na physical attraction na sio bikira; sisemi bikira haina thamani ila peke yake haitoshi. Na kama haitoshi haiwezi kuwa priority!

Wanaume wengi wana sex before marriage, hawasex na mizimu bali na wanawake, wengi wakikutana na bikira wanazing"oa hawasemi huyu ngoja nimuoe...huoni kama hapo Wanaume wamechukulia bikira of less value?..namaanisha ni Wanaume wameishusha thamani bikira cha kushangaa ni nyinyi nyinyi Wanaume mnataka kuipandisha tena thamani.....

Mwisho usiseme uwajibikaji umebadilika, hukuwepo zamani ukajua ulikuwaje?!!?
 
"Unajua nilikupeendaa saidiiii ila ya Dunia wee yalikuzidi, nilitamaani kuwa nawe saidiii" 🎵🎵

Apo Side kashaoa mtoto mwenye maadili kaachana na chakubimbi, Anita full makasiriko 🤣
View attachment 3637930
Nikasirike kwa lipi sasa??!wewe kweli choko! Subiri mwanao ang"olewe yake.. yamekuingia huwezi kuifungia bikira ya mwanao kabatini..umebaki kuhangaika...nina wewe mpk nikuue kenge we!
 
Unadhani ndoa yako ina mafanikio kwa sababu ulioa bikra? Kama unadhani hivyo, jitafakari tena.
 
Unamwaga moto mwingi sn
 

Eti siku moja ni lazima aku cheat na ex wake, asilimia ngapi ya wanawake wako faithful na ndoa zao japo hawakuolewa bikira?

Ni huu uoga wa kuchitiwa ndio mnaenda kujitwisha mizigo huko kijijini??? Aliyesema bikira hawezi kucheat.nani?

Ulivyo linganisha chemistry na sexual discipline ndio nimejua hujui unaloliongea inawezekana hujawahi kuwa na mwanamke hivyo hujui kumpatq mtu na kuwa na chemistry nae ni nini..

Usilete mambo ya yesu humu, tusije kukufuru bure,
 
Nikasirike kwa lipi sasa??!wewe kweli choko! Subiri mwanao ang"olewe yake.. yamekuingia huwezi kuifungia bikira ya mwanao kabatini..umebaki kuhangaika...nina wewe mpk nikuue kenge we!
Naona umeshaurika sahv hutukani tena K kiungo chako ulichokitepetesha kwa kusambaza upendo, we niue tu
 
Bikra haijawahi kupoteza thamani mbele ya mwanaume yoyote yule haijalishi yupo pande gani? Mwanaume akikosa bikra ataangalia Low body counts na ipo hivyo kwenye jamii zote duniani.

Kati ya mmiliki wa kitu na yule muhitaji wa kitu nani ana nguvu ya maamuzi ya hiko kitu? Umepewa akili na utashi, ikusaidie kuzishinda tamaa na maovu. Hapo huwezi kumlaumu mwanaume, kwani hakushikii bunduki kumpa bikra. Unachotakiwa kuishinda tamaa na kuepuka vishawishi kwa utashi na akili uliyopewa.

Kielelezo cha uwajibikaji kwa wazee wa zamani kwanza wazazi walikuwa wanawajibika na mtoto alikuwa ni wa jamii nzima ,wote walishiriki kwenye malezi na makuzi na ndio maana bikra zilikuwa nyingi.Ndio uwajibikaji ninao uzungumzia mimi na binti alikuwa anajua nini wajibu wake na jinsi ya kuzishinda tamaa.

Kutokuwajibika kwako hakufanyi, hakuondoi maana ya bikra una akili na utashi uitumie kukuongoza kwenye kufanya maamuzi juu ya maisha yako na mwili wako.

Mnasema kwamba mwanaume anakushawishi. Okay mfano nikija hapo nikakushawishi unipe milioni moja utanipa?
 
joseph1989
Mwanaume akikosa bikira ataangalia body count, body count wangapi..wawili,watatu au wangapi?! Huoni hii iko subjective??? Hivyo hivyo preferences for virgins?!..manake umeiweka kama kila Mwanaume preference yake ni hio wakati kuna wanaume wengi tu virginity sio ishu kwao?! ..(research).

Jukumu la kulinda bikira ni la mwanamke I agree...but wanawake kama walivyo wanaume wana sex due to biological changes ama out of curiosity...if this is the case huoni kama It's natural hizo bikira at certain age kutolewa? Najua utasema kuna wanaocontrol the urge...ila wangapi?!.wanaume wengi ndio maana wanaoa wanawake wasio bikira sababu wanajua at certain age hizo bikira ziko bound kutolewa..seriously wewe mwanamke yuko above 25 una expect awe bikira if not kwa nini uipe thamani?!

Nimekuambia bikira ina thamani ila peke yake haitoshi..unless uko tayari ku trade mutual connection, shared interest na physical attraction over virginity...and if not bikira is overated...

Usiniambie mambo ya jamii ilikuwaje nimekuambia hukuwepo! Bikira zilikuwepo nyingi, umejuaje?! uling'oa ngapi?! Zilikuwa ngapi per population? Is this what you believe ama fact? Kama fact leta evidence..?!
 
Anita wewe ni kapumbavu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…