Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 13,620
- 38,077
Mkuu unatakiwa kujua kwamba mtaani mtu hawezi kuwa huru kama mtandaoni. Sio rahisi mtu kusisitiza suala la bikira mbele ya watu maana hapo utawaprovoke wanawake ambao sio bikira na wanaume ambao washaoa wanawake ambao waliwakuta washatumika.Kwa watu ambao naongea nao mtaani sijawahi kusikia wakiwa desperate kupata bikra kama watu wa humu,i mean humu ndio kila ukiamka bikra this bikra that..
Kwa sababu watumiaji wa humu 90% ni nerds, nafikiri kwamba ni aina ya wanaume ambao wakati wa kukua kwao hawakua around girls,kama huja bang hizo bikras ukiwa shule,sahau ukiwa 30s,unless utafute minors ufungwe..
If you know women and how to deal with them(and to play their games),hawasumbui na hawajahi kusumbua,,ilitakiwa wanawake ndio wajaze threads za kulia lia...But humu ndio mahala pekee wanaume wanahangaishwa na wanawake kutwa nzima,why??..in a serious note,mwanamke 25 anakuaje na bikra mji huu??lol
some of y'all doesn’t have that kind of pull..
Kama unavyojua waafrika hatuna calmness tukiwa provoked kwaiyo ukija na madai hayo mbele za watu usishangae mkaishia kurushiana ngumi. Kwa mantiki hiyo usishangae sana kukutana zaidi na madai hayo mtandaoni maana huku watu wanaweza kufunguka kwa uwazi.
Tunaothamini bikira bado tupo wengi sana. Mimi nilishajiwekea kiapo sitakuja kuoa mwanamke ambaye tayari kashatumika. Mke wangu niikutana nae akiwa bikira, watoto wangu wa kiume nitawasisitiza umuhimu wa kuoa bikira, vilevile binti yangu nitamsisitiza umuhimu wa kujitunza mpaka atakapoolewa.