Bikra is overated

Bikra is overated

Anita Makirita

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
1,455
Reaction score
2,323
Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...

Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..

Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!

Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..

Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...

Wasalaam

Anita

Mimi huyoooooooo byeee
 
Nyie msiokua nazo ndo mnajifariji kuwa ziko overated.
Maelezo marefuuuu, kumaliza miti tu bure!
 
Kiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.

Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
 
Hahaaaa unabisha?! Weka poll hapo wangapi wana pesa na hawajaoa bikira!?! ..seems you are out of touch/reality...amka idiot
Tatizo hutaki kupewa fact unataka kujifariji
Mungu alisamehe malaya wote ila alipotaka kumleta mtoto wake alitumia bikra.

Sasa wewe sio bikira unataka kuwa sawa na bikra?? Huna thamani huna hoja

Pathetic
 
Bikra nimekutana nayo mwaka jana, kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Nimeikataa tukiwa chumbani kabisa tupo uchi sababu sikuwa committed nae. Sijui kama anayo bado au hana.

Girlfriend wangu wa sasa nilimkuta nayo. Previously nilikuwa na girlfriend mwingine (R.I.P) nilimkuta nayo.

Ambalo hamjui ni kuwa bikra zipo mjini zaidi kuliko vijijini. Bikra ziko private schools zaidi ya shule za kutwa. Bikra zipo kwa matajiri na middle income earners kuliko kwa makapuku. Na sijawahi kutana na bikra alafu akaniambia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
 
Back
Top Bottom