Bikra is overated

Bikra is overated

sasa nitadiskas nini na binti mimi kama mwanaume? mwanamke ni chombo cha starehe kudiskas nitakaa kikao na halmashauri yangu ya kichwa nione nafanyaje wewe njoo nikuvunje bikira ulee watoto😁😁😁😁😁

huna bikira nakula nakutupa kafie mbele umekosa cv umeshindwa kutunza bikra utaweza nini mbwa wewe
 
Kama ambavyo mnaona fahali kuwa na mwanaume mwenye pesa mali na kila kitu

Vivyo hivyo mwanaume mwenye pesa akiwiwa kuwa na mwanamke bikra ni sawa..
Wala isionekane overated , maan hata sisi kwa hoja zako tutakuona overrated
Vipaumbele vyetu wanapata sukari , ila vyakwao, aaaaaah
20260515_173003.jpg
 
Mimi sijawahi tafuta bikra, huwa nazikuta kwenye safari bila kuzitarajia. Kama hiyo ya mwaka jana jijini Dar, alienda chuo kutoka mkoani amekaa chuo 2 years mjini na hakai hostel ila bado anayo. Na niliamua kuiacha sababu alikuwa ananiganda mume mume wakati sina uhakika na hilo.
Huwa unakwenda kwa mnganga yupi katika harakati zako?

Huenda nyota yako haijaibiwa na kwamba wezi wametoroka na yangu.
 
Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!
Ubaya wa kuoa dem asie na bikra, unakua hujui idadi ya wahuni walio mkojolea halafu ndio anakua mkeo.
 
Wanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi

Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
nitumie account yako ya NMB nikuwekee zawad
 
Back
Top Bottom