kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Roho inadunda kwa picha hizoView attachment 380104View attachment 380105
Hii fursa nzuri sana ila mwanaume wa dar tafadhali sana.

Roho inadunda kwa picha hizoView attachment 380104View attachment 380105
Hii fursa nzuri sana ila mwanaume wa dar tafadhali sana.

hizi ni propaganda za wazungu ili watu waache kujichotee neema za allah...!!Mgosi Shemkunde, umefuata nini huko Swaziland?
Kwahio ukiwa na Switzerlands za kutosha, ni hoteli gani ya nyota 4 yafaa kwa vekesheni hapo Swaziland.
By the way kuna takwimu zimetoka mwaka huu zinatisha sana.
![]()
Mbona ameweka mkuu? Au ulitaka uone na uchinjaji unavyofanyika?
hahahaha mkuu umetisha sana... Anataka kuona damu zinavyomwagika!!Mnyatie beki 3 chumbani kwake mkuu.Jaman tunatamanishana buuuurrrrre![]()