nyachijendi
Member
- Dec 15, 2012
- 57
- 8
Weka picha!
uzoefu ndo mpango mzima duniani hapa
tunasajili vitu vikali kama man u vile! hujacheza hata ligi ya mbuzi uje ucheze premier ligi?
kwi kwiiiiii
kweli uko silidi mwana one.. na hao wathungu walishindwa kabisa kuitoa? au ulikuwa padiri