Bikira wa kiume natafuta mwanamke wa kutoa bikira yangu.

nyachijendi

Member
Dec 15, 2012
57
8
Habari wana mmu mimi mtz mwenye miaka 34, napenda kutoa fursa kwa akina dada kuja kunitoa silidi. Mm nililelewa kimaadilri na nilichelewa sana kusoma shule, nimeenda nje na hadi sasa nina masters, ninaomba wadada wenye umri wa miaka 23-27 waje, nipm
 
miaka 34,huja du....,hauko sawa nahisi,wasije wakawa wanakuduu wewe sasa unaamua kuacha kwa gia hiyo.wataalama wa afya wanasema ukifikisha miaka 35,bila kutoa watungu,kuna uwezekano ukazaa genious ama taahila,
 
  • Thanks
Reactions: keh
Mwanaume hata miaka 80 kuwa na bikira ndo uanaume!!!,nina mashaka hapa
Comment hii imeji-post yenyewe
 
Si ndo hapo cv haijitoshelezi.No experience aende tempo kwanza
uzoefu ndo mpango mzima duniani hapa
tunasajili vitu vikali kama man u vile! hujacheza hata ligi ya mbuzi uje ucheze premier ligi?
 
kwi kwiiiiii

kweli uko silidi mwana one.. na hao wathungu walishindwa kabisa kuitoa? au ulikuwa padiri
 
kwi kwiiiiii

kweli uko silidi mwana one.. na hao wathungu walishindwa kabisa kuitoa? au ulikuwa padiri

wazungu ni wabaya wanawaharibu sana vijana wetu sasa angalia kijana wa watu hakijui kitumbua. Ile mishipa ya kule itakuwa imeshalegezwa tayari
 
Hivi kwa nini sisi mabikra tunaonekana vilaza sana? Nyie mlotatuana njia zote ndo mwaonekana much know...kudadeki zenu!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom