bikira kweli au yakutengenezwa!!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bikira kweli au yakutengenezwa!!!?

Discussion in 'JF Doctor' started by geek jo, Jun 22, 2011.

 1. geek jo

  geek jo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,081
  Likes Received: 912
  Trophy Points: 280
  hi.. inasemekana kuna bikira za kutengeneza kwa wakina dada kwa kutumia dawa na jinsi nyingine tofauti!! je utazibaini vp tofauti ya hizi bikira??? maana ninamashaka na niliyomkuta nayo mchumba wangu!! ya ukweli au ndio kaniuzisha chaka nitangaze ndoa fasta????? wajanja wa mujini nisaidieni jamani...
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaamini bikira inatengenezwa wewe? kama huamini ujue hamna kitu je ulijuaje hana...acha ngono fungeni ndoa kwanza unataka tukuelekeze uhuni kamuulize mjomba wako...
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ooohh dear
  umempata bikira furahi
  lakini hakikisha mnapima kwanza.

  kuna aina mbili za bikira miaka hii
  kuna bikira ya uhalali ( mtu hajawahi fanya sex tangu kuzaliwa)
  kuna za bandia ambazo unafanyiwa surgery (unashonwa)..
  mfano mtu anaenda nchi za nje kusoma mila na desturi za kwao
  lazima msichana awe bikira ili kuolewa na ni kheshima kwa wazazi pia..
  huwa wengi hufanya hiyo surgery na nilivyo sikia ubikira unarudi kama
  kawa... ( muhimu kupima) Take care ......
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  hv kumbe mwanamke ukimkuta bikra ndo unapata tiketi kbs ya kuoa,okay nilikuwa sijui eti
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  unaoa kwa kua ni bikra au kwakua umepanga kuoa na mnapendana?
  vijana wa siku hizi bana
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  naona anaoa bikra aise
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ht malaya nae alizaliwa bikra!
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Hahahaa..kaazi kweli kweli.
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kuna my Russian friend naishi naye,alinieleza kwamba anauza pia dawa za kurudisha bikra,so hapo kidgo ni complicated
   
 10. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  mkuu ndoa ni zaidi ya bikra!.
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  jee unampenda?mapenzi ni zaidi ya bikira.au kwako ni muhimu?
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ....hii habari yake inatufundisha kuwa, mke kwake ni kumtembezea mtalimbo tu na hakuna jingine lol.....
   
 13. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red...hususan jamii kubwa ya kiarabu huhusudisha hilo.
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  "Uzuri wa mwanamke sio chenza (bikra), noo..... Uzuri wa mwanamke ni mwenyewe jinsi alivyo. Wengi wameolewa na machenza, ndoa zao wameshindwa kuzitunza, na wangapi wameolewa na machungwa mpaka sasa ndoa zao wanazitunza"!!
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uzuri wa mwanamke tabia
   
 16. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kwa wale ambao hawana unataka wasiolewe sasa?
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mimi nashangaa kuwa mpaka karne hii bado wanaume tunang'angania hali ya msichana kuwa bikira bila kuangalia nyakati tunazokwenda nazo. Kuna zama bikira ilikuwa kitu cha thamani kiutamaduni, wakati ule ambapo bado idadi ya watu ilikuwa ndogo na hivyo hata michanganyiko ya tamaduni tafauti ilikuwa hafifu. Lakini kwa zama tulizonazo, ambapo kwanza imethibitishwa kuwa msichana anaweza kupoteza bikira bila ya kuingiliwa au asizaliwe nayo kabisa, kumhukumu msichana kama huyu kuwa si bikira ni kumwonea. Vivyo hivyo kumzawadia/kumthamini mwenye bikira ya kununua ni uzumbukuku. Mwisho wa habari, msichana anaweza kutunza bikira kwa miaka, lakini kuondolewa ni suala la sekunde tu. Baada ya hiyo furaha ya sekunde chache, maisha yanaendelea.

  Ninathamini tamaduni za jamii zetu, lakini nahisi tumefika pahala tuangalie sifa nyengine kwa wasichana na sio ubikira tu. Na zaidi, na zaidi, la muhimu sana, TUSIWACHE KUPIMA KABLA YA NDOA na kwa wale wanaorukaruka, ninawashauri WASISAHAU KUFANYA NGONO SALAMA.
   
 18. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukosa bikra,Ina maana alikuwa na tabia chafu.
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mimi mke wangu tumezaa naye watoto wawili lakini bado anabikira yake, ameitunza hadi leo.
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhhhhhsafi sana mkuuuUmenichekesha lakini lol..
   
Loading...