Bikira ina maana moja tu nayo ni....

Bikira ina maana moja tu nayo ni....

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Bikira ina maana moja tu nayo ni kuwa na utepe
amabo Mungu alimumbia mwanamke na kama
uume ukisha ingia basi kamwe huwezi tena kuitwa
bikira hata kama utashonwa uke na uzi wa sindano
ya viatu.....so kwa wale wanaojidanganya sjui kwa limao sjui dawa za mchina mjue kwanzia leo na huo utepe hauvutiki na ndo maana uume ukishaingia unakatika na unaondokana na ubikira unaingia kwenye hali nyingine! Hii iliwekwa na mungu kama ishira ya agano kati ya mwanaume na mwanamke wanapofunga ndo nakuwa mume na mke
 
Bikra inaweza ikatoka bila uume kupita mf. Kuendesha baiskeli, farasi n.k. Anyway, siku hizi bado watu wanatafuta bikra? Sipendi hii double standard, mwanamme anabanjua weeee kabla ya ndoa lakini muda ukifika wa kuoa anataka bikra. Doesn't make any sense.
 
mwee....wacha zako wanawake wangekuwa wameamua kubakia bikira basi wanaume nao tungekuwa bikira.......wanawaje ndio wanao ombwa utamu so wakikataa basi wao ndio watahakikisha kuwa wanaume wanabakia kuwa bikira mpaka pale wanappo oa
 
miiii simtaki mwanaume alokua sio bikra kama mimi ni bikra it doesn't make sense.wao wafunuwe and then watake bikra sii haki yao kweli HoneyBee wambie walozowea hii tabia.
 
Last edited by a moderator:
Nilisikia mtaani juzi kati kuwa "KUNA BIKIRA MBILI"....

Ni kweli??

Kwamba kule kwenye 0713..... nako kuna bikira na kuna watu hawana zote.....
 
Haki sawa kwa wote tuwe hatujalimbuka mwaka
 
mwee....wacha zako wanawake wangekuwa wameamua kubakia bikira basi wanaume nao tungekuwa bikira.......wanawaje ndio wanao ombwa utamu so wakikataa basi wao ndio watahakikisha kuwa wanaume wanabakia kuwa bikira mpaka pale wanappo oa

as usual majibu yako ni mwanamme=helpless. you can decide to do whatever with your body, my friend. Ninachokataa ni hiyo double standard .
 
Great answer. Umenifurahisha sana.
If there is a giver, there is always a receiver.
 
Bikra inaweza ikatoka bila uume kupita mf. Kuendesha baiskeli, farasi n.k. Anyway, siku hizi bado watu wanatafuta bikra? Sipendi hii double standard, mwanamme anabanjua weeee kabla ya ndoa lakini muda ukifika wa kuoa anataka bikra. Doesn't make any sense.

Kuna kazi kwa ajili ya wanawake na nyingine kwa ajili ya wanaume. Ukiona unafanya kazi/kitendo ambacho kitasababisha bikira ya mwanamke kuharibika ujue umeingilia kazi za wanaume. Kama kweli wewe ni mwanamke bikira huwezi kuendesha baiskeli au kupanda punda. Ndio maana tunasema kwamba mwanamke anatakiwa ajitunze? Kujitunza sio tu kutoingiliwa na wanaume la hasha, ni pamoja na kufanya kazi zinazomstahili mwanamke. Hii ndio sababu uharabuni wakimkamata mwanamke anafanya kazi zinazomstahili mwanaume wanamhukumu. Nawasilisha
 
sipati picha kama na wanaume tungekuwa na bikra zinzooonekana. nashukuru hatujapewa hicho kitu
 
Mimi nilianza kuendesha baiskeli toka nikiwa na miaka 6, for fun. Kuendesha baiskeli sio kwa wanaume tu. Hii imenadikwa wapi? Tuseme niikuwa naishi huko kijijini, nisitumie punda baiskeli kuchota maji, kuenda shule, au kusaka kuni kisa bikra? Ukisubiri mwanamme aje kufanya kazi zake wote mtashinda njaa tu.

Tatizo tunaishi kwenye jamii inayoweka bikra kwenye pedestal. Inaabudiwa lakini haiheshimiwi. Ingekuwa bikra inaheshimika milele mama zetu walioolewa na bikra enzi zile wangekuwa wanatunzwa kama malkia. Lakini ndio hivyo baada ya miaka kadhaa ni madharau tu na nyumba ndogo juu. Bikra is overrated. Ni kwa ajili ya kumfariji mwanamme kuwa yeye ndo wa kwanza kufungua box, basi!

Kuna kazi kwa ajili ya wanawake na nyingine kwa ajili ya wanaume. Ukiona unafanya kazi/kitendo ambacho kitasababisha bikira ya mwanamke kuharibika ujue umeingilia kazi za wanaume. Kama kweli wewe ni mwanamke bikira huwezi kuendesha baiskeli au kupanda punda. Ndio maana tunasema kwamba mwanamke anatakiwa ajitunze? Kujitunza sio tu kutoingiliwa na wanaume la hasha, ni pamoja na kufanya kazi zinazomstahili mwanamke. Hii ndio sababu uharabuni wakimkamata mwanamke anafanya kazi zinazomstahili mwanaume wanamhukumu. Nawasilisha
 
miiii simtaki mwanaume alokua sio bikra kama mimi ni bikra it doesn't make sense.wao wafunuwe and then watake bikra sii haki yao kweli HoneyBee wambie walozowea hii tabia.

bidodo hapa unaonesha na wewe ni bikira au nimekosea
 
Last edited by a moderator:
as usual majibu yako ni mwanamme=helpless. you can decide to do whatever with your body, my friend. Ninachokataa ni hiyo double standard .

no double standard hapo wewe...its high time women start closing their legs bwana....kha!!!
 
Naomba kuuliza swali...Hivi Tanzania kuna wanawake mabikira? Hasa wa Dar es salaam. Naona kama hamna vile...
 
Close their legs so that you dont accidentally fall in between? women have urges too, yet you dont hear us demanding that men keep their virginity for us.
m
no double standard hapo wewe...its high time women start closing their legs bwana....kha!!!
 
Mwanamke yoyote atayekua mkali kwenye hii thread, ujue tayari ashatusuliwa...
Jamani eenh wakati unaenda machinjioni, ulikubali kwa nafsi na roho yako mwenyeweeee...
Agizo ni kwamba mwanamke hupaswi kumjua mwanaume....bhaaaassssss!!!
 
bikra bikra ,za upande mmoja? muoe wanawake wa ujana wenu, je mnafanya hivyo
 
Agizo la nani?

Back
Top Bottom