Bikira ina maana moja tu nayo ni....

Bikira ina maana moja tu nayo ni....

scientificaly proved that bicycle and horse riding cannot remove virginity, dont get these involved; only a dicks or dick-like structures can do it.
 
Close their legs so that you dont accidentally fall in between? women have urges too, yet you dont hear us demanding that men keep their virginity for us.
m

well he who doesnt ask shall not be given....sasa wewe keep quiet tuu sie tutajuaje wewe wataka virgin man hahahaha
 
NO, kwa mantiki hiyo kuna wanawake wanaruhusu romance, Blowjobs, Touchings ila hawataki kufanya mapenzi maana watatoa Bikira, Bikira sio utando, KUWA BIKIRA NI KITENDO CHA KUISHI BILA KUFANYA MAPENZI WALA NGONO. Sasa wewe ruhusu vitendo vingine na kujiita bikira, lakini kuwa BIRIRA kikamilifu ni kutofanya mapenzi, wala kitendo chochote cha mapenzi.
 
Hata kama utakuwa huna ule ukuta yaani hymen inayoitwa bikra lakini ukiwa hujawahi kufanya tendo la ngono wewe ni bikra kwa taathira. Kwa tafsiri hii hata wanaume wanaweza kuwa mabikra.
 
mwee....wacha zako wanawake wangekuwa wameamua kubakia bikira basi wanaume nao tungekuwa bikira.......wanawaje ndio wanao ombwa utamu so wakikataa basi wao ndio watahakikisha kuwa wanaume wanabakia kuwa bikira mpaka pale wanappo oa
mi ata sijakuelewa au ndio umezoea ligi! mbona ameshasema bikira sio lazima itolewe na mwanaume bt mwanaume sasa zenu zinatolewa na nini?
 
Bikra inaweza ikatoka bila uume kupita mf. Kuendesha baiskeli, farasi n.k. Anyway, siku hizi bado watu wanatafuta bikra? Sipendi hii double standard, mwanamme anabanjua weeee kabla ya ndoa lakini muda ukifika wa kuoa anataka bikra. Doesn't make any sense.

To you, as you have lost yours already.
 
Mkuu huu naona kama muda wa lunch vile.naona ka umenigusa,ngoja nimalize kula nije nishuke kwa sababu...........dah! lakini Teacher Gfsnowin akiona hapa ataanza kunigombeza!!!!!! hebu subiri kama atakuwa mbali basi nitarudi kudadavua jambo hili kwa sababu hapa ni mahali pangu haswaaa ikiwa ni pamoja na hilo linalosemwa eti mwanamke akiendesha baiskeli bikra inavyatuka!!!!
 
Kuna kazi kwa ajili ya wanawake na nyingine kwa ajili ya wanaume. Ukiona unafanya kazi/kitendo ambacho kitasababisha bikira ya mwanamke kuharibika ujue umeingilia kazi za wanaume. Kama kweli wewe ni mwanamke bikira huwezi kuendesha baiskeli au kupanda punda. Ndio maana tunasema kwamba mwanamke anatakiwa ajitunze? Kujitunza sio tu kutoingiliwa na wanaume la hasha, ni pamoja na kufanya kazi zinazomstahili mwanamke. Hii ndio sababu uharabuni wakimkamata mwanamke anafanya kazi zinazomstahili mwanaume wanamhukumu. Nawasilisha
we umechelewa! wanaume wenyewe wa sasa ata pesa kuacha hawaachi ya kutosha ukiuliza unaambiwa fanya maarifa! ule mda wa kusubiri kupewa ulishapitwa na wakati.
maana hautoitwa mama wa nyumbani bali unabadilishiwa majina golikipa n.k nani anataka labda kwa wengine lakini kwangu ni big NO acha tu itoke kama ndio hivyo
 
Bikra inaweza ikatoka bila uume kupita mf. Kuendesha baiskeli, farasi n.k. Anyway, siku hizi bado watu wanatafuta bikra? Sipendi hii double standard, mwanamme anabanjua weeee kabla ya ndoa lakini muda ukifika wa kuoa anataka bikra. Doesn't make any sense.
It makes a lot of sense because the heart of a woman is won in bed whereas the heart of a man is never won. Mungu alifanya hivyo ili moyo wa mwanamke usije kuambatana na mwanaume ambaye siye mumewe kwani muda wote atakuwa anamuwaza na kumtamani na atakuwa anampelekea nyapu bila woga wowote na kuifanya ndoa isidumu.
 
Hata kama utakuwa huna ule ukuta yaani hymen inayoitwa bikra lakini ukiwa hujawahi kufanya tendo la ngono wewe ni bikra kwa taathira. Kwa tafsiri hii hata wanaume wanaweza kuwa mabikra.
Dhana ya ubikira kwa mwanaume ni ngeni na haijapata kuwepo. Mwanaume ana wake watatu lakini bado inahakikishwa akiongeza mke ni shurti awe bikira regardless ya mwanaume kutokuwa nayo. Sababu za msingi nimeshazitoa hapo juu kwenye post # 35
 
heee nicolson mbona umefika mbali inamwenyewe iyo anaisubiri. kwa iyo naihifadhi mpaka muda ukifikia sina papara
 
Back
Top Bottom