Bikira ina maana moja tu nayo ni....

Bikira ina maana moja tu nayo ni....

Obviously, since I'm a married woman with a child. Either way it didn't make sense to me as a virgin and still doesn't make sense after experiencing sex.

You can lose sense but not concern. If you lost it on the street, you will always be concerned. If you gave it to your husband, you will always be proud; so does he.

However, I understand how you feel. I have lost some teeth already, I have my own excuses to tell when asked on why I lost them in my mid twenties. In my heart I know people loose teeth when they are old
 
Bikira inamaana moja tu nayo ni UCHAFU:evil:
 
Kuna kazi kwa ajili ya wanawake na nyingine kwa ajili ya wanaume. Ukiona unafanya kazi/kitendo ambacho kitasababisha bikira ya mwanamke kuharibika ujue umeingilia kazi za wanaume. Kama kweli wewe ni mwanamke bikira huwezi kuendesha baiskeli au kupanda punda. Ndio maana tunasema kwamba mwanamke anatakiwa ajitunze? Kujitunza sio tu kutoingiliwa na wanaume la hasha, ni pamoja na kufanya kazi zinazomstahili mwanamke. Hii ndio sababu uharabuni wakimkamata mwanamke anafanya kazi zinazomstahili mwanaume wanamhukumu. Nawasilisha
halafu kukatika bikira sio jambo rahisi kama ambavyo wanataka kutuaminisha,we si unaona kidume chenyewe kuikata ni mbilinge,asilimia 89 ya bikira zimepotea kwenye ugoni.
 
mwee....wacha zako wanawake wangekuwa wameamua kubakia bikira basi wanaume nao tungekuwa bikira.......wanawaje ndio wanao ombwa utamu so wakikataa basi wao ndio watahakikisha kuwa wanaume wanabakia kuwa bikira mpaka pale wanappo oa
ndo haki sawa au
 
Back
Top Bottom