Bigi navyomjua hapandishagi mori kihivyo kuna mtu kaquote post yake kalabwa BAN atarudi by the way ana ID nyingine he wil be using that one for a mean time right???
Mkuu, Bigie hakupandishwa mori, alimwita mwanasiasa jina la mnyama wa mwituni, then Quinine akafanya the same, Quinine akalamba BAN, Bigie akaendelea kupeta, Akaja MC person mmoja akaanzisha thread ya kulalamika kwa nini Bigie hajalambwa BAN wakati mshikaji wake amelambwa BAN.
Thats how it was bro.
Bigi sio slow leaner atakuja na misitari mpaka mshangae
DA, unasoma nomino eeeh!!Bigi navyomjua hapandishagi mori kihivyo kuna mtu kaquote post yake kalabwa BAN atarudi by the way ana ID nyingine he wil be using that one for a mean time right???
Watu na viroho vya korosho tu!Si ndio hicho nilichosema mimi hiyo thread nimeiona asubuhi na imekuwa quoted na hizo post mbili nothing else
Mkuu, Bigie hakupandishwa mori, alimwita mwanasiasa jina la mnyama wa mwituni, then Quinine akafanya the same, Quinine akalamba BAN, Bigie akaendelea kupeta, Akaja MC person mmoja akaanzisha thread ya kulalamika kwa nini Bigie hajalambwa BAN wakati mshikaji wake amelambwa BAN.
Thats how it was bro.
Kheeee Kheeeee MODS wanabebwa kwenye mijadala kama Spika wa Bunge
Mhhh! nini tena!!!!!!!Mkuu mmmmmh:ballchain:
Si ndio hicho nilichosema mimi hiyo thread nimeiona asubuhi na imekuwa quoted na hizo post mbili nothing else
Mhhh! nini tena!!!!!!!
Extension Cable!!!!
yaani ukilalamika tu kwa nini CPU hajala BAN, basi ndo naviziwa kupewa ngumi za uso, au sio??
Nini tena boss
Hapana kilichotokea ni kwamba CPU kasema DA ni sokwe kala BAN, halafu Bigi kasema DA ni sokwe hajapigwa BAN, mtu akaqoete zote mbili nakuuliza kwanini big asile BAN wakati CPU kala BAN na wote wamesema neno moja??
Hapo mtu unafurahia mwenzio kula BAN?? Inanishangaza sana
Mie tena kwa kusoma katikati ya misitari nishainyaka ila chuna basi na wewe kila mtu ajue