Ndio mimi nilikua nawaambia watu humu ndani wana misconcept unplanned settlements na slums.Wewe huenda huijui Manzese na hujui maana ya 'Slum' zinazozungumziwa hapa, unaisikia.
Mazingira ya Manzese kwa zaidi ya 80% yameboreshwa vizuri huenda kuliko makao ya miji mingi hapa Tanzania.
Wewe ulishawahi kuona wapi slum ambayo:
1. Imejaa barabara za lami mitaani
2. Imejaa nyumba za maghorofa za kisasa
3. Utitiri wa hoteli za kisasa, lodge, bar, migahawa, mini supermarkets, kumbi za starehe nk.
4. Imejaa taa za barabarani za usalama za usiku.
5. Imejaa miundo mbinu ya mabomba ya maji, umeme na mitaro ya maji machafu.
6. Kuna shule binafsi nyingi la 'English medium'
7. Utiriri wa misikiti na makanisa makubwa/kisasa.
Nenda manzese utaona hayo.
Mjinga sana.Wewe kama sio mkenya utakuwa wa mbwinde Dar unaiona kwenye picha
Mwambie aende kibera ndo atajua slums ni Nini?Mjinga sana.
Anakwambia Keko Machungwa ni slumsπππππ.
Hivi hata hiyo keko Machungwa kaitembea yote huyu!?
Mwehu mamako kenge wewe.Unaongelea Tanzania gani wewe mwehu ? ,Umefika Lindi ,Dodoma ,Singida huko ndani ndani ,Shinyanga nk ?
Mkuu tuliza jazba msihusishe wazazi bana si hekima.Mwehu mamako kenge wewe.
Manzese hakuna slums , inawezekana huijui manzese vizuri.....unaweza nitajia viunga vya hiyo manzese ya ndani ndani kabisa ni vipi na vinaitwaje!!!???Manzese wewe hupajui ingia humo ndan ndan ujionee mwenyewe aisee utashangaa
Mkuu nimegundua wengi wanaochangia hawazijui hizo sehemu wanazoziongelea zaidi nao wamehadithiwaMjinga sana.
Anakwambia Keko Machungwa ni slumsπππππ.
Hivi hata hiyo keko Machungwa kaitembea yote huyu!?
Hawajui hata huyo nilokua nabishana naye inaonekana amefika Dar muda sana,hajui hata kama kuna project bonde msimbazi.Mkuu nimegundua wengi wanaochangia hawazijui hizo sehemu wanazoziongelea zaidi nao wamehadithiwa
Dar hakuna slums japo Kwa mbaaali Kuna sehemu km isingekuwa wawekezaji kuenda kuharibika mfano pale kurasini polisi ufundi nyuma ya Ile petrol station ya puma ambapo Kuna mwekezaji wa kisomali amepanunua na sehemu ya jangwani kuanzia Sahara mpk baghdad kuibukia moto ya baraka napo kulielekea kuharibika,ila ndo hivyo worldbank wameshalipa na kumeanza kuvunjwa
Hamna maeneo ya hivyo bongo, ni mji tu umepangika hovyo lakini slums za kama hizo za Nigeria au Kenya sijaziona hapa bongo.Hivi nitajie maeneo ambayo yanaweza kuwa slums hapa dar...kigogo? Msasani?wapi?
Manzese,tandale,buguruni,kigogo,mburahati,mbagala huko kuna mabanda na vijumba hata kwa baiskeli huwezi kupitaTEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!
-1. Kibera, Kenya π°πͺ: 700,000
-2. Mathare, Kenya π°πͺ: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria π³π¬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria π³π¬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa πΏπ¦: 400,000
-6. Cazenga, Angola π¦π΄: 400,000
-7. Makoko, Nigeria π³π¬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa πΏπ¦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya π°πͺ: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana π¬π: 80,000
Sio kama hayo mabatiM
Manzese,tandale,buguruni,kigogo,mburahati,mbagala huko kuna mabanda na vijumba hata kwa baiskeli huwezi kupita
Kimsingi ktk maeneo yoote uliyoyataja hayana sifa za kuitwa slum....ikiwa kupitisha baiskeli ndo sifa unayoijua basi Kuna maeneo mengi hapa mjini beiskeli haiwezi kupitaM
Manzese,tandale,buguruni,kigogo,mburahati,mbagala huko kuna mabanda na vijumba hata kwa baiskeli huwezi kupita
Dogo ingia mjini kwanza tujadilianeMjinga sana.
Anakwambia Keko Machungwa ni slumsπππππ.
Hivi hata hiyo keko Machungwa kaitembea yote huyu!?