Biggest slums in africa

Aiseenimecheka huku nasikitika
 
Ila watu wa mikoani wana chuki na Dar sijui kwanini, ukisoma comments utaona,
Jamani hizo picha zimenifikirisha sana, daah!
Mtu akaja kafikia manzese miaka 15 ilopita Leo anatamka manzese na buguruni ni slum..🤣

Na ukiona neno "Dar slum" ujue huyo ni mkenya.ndo wanavyoita kujifariji
 
Nilipita siku moja Kibera laa
Yaani uchafu wa kinyesi na taka zilizooza miaka, hiyo harufu nilikosa raha ila wenyeji ndio kwanza wanachoma mishkaki na mahindi na wana wateja kibao
Wana mtindo wao wa kuishi huko
 
Ila Kundustan Kuna balaa sio la Nchi hii 😂😂
 
Wakenya wote wanaishi kwenye slums, ukipangaisha chumba kenya ni kidogo sana kama ni mtu mrefu ukilala usiku ukajinyoosha miguu na kichwa vinagusa ukuta
Uchumi wao ni mkubwa kuzidi sie bwana..wanaishi kwenye skycrapers 🤣
 
Tanzania slums hatuna isipokuwa hatuna usimamiz wa mipango miji baadhi ya maeneo hayakutakiwa kukaliwa na watu lkn yanakaliwa na watu kama huko bonde la mto msimbazi najua wanaobisha wangeenda hata kibera wakaone slum ni nini au huko india
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…